PICHA: Vurugu Zanzibar: Mabaki Ya Kanisa Lililochomwa Moto kama ingekuwa Msikiti ingekuwaje?

Status
Not open for further replies.
Licha ya picha hizi kutuaibisha duniani, Wazenji watafadhaika na kuchoka kwa miaka mingi ijayo. Waangalie Somalia. Laana ndo imeshuka Zenji. Msumbiji walichoma makanisa sababu ya ukomunist ikawachukua miaka mingi bila amani/maendeleo. Ukombozi wa kimawazo na umaskini utaletwakwa kuinua kiwango cha elimu na upatikanaji ajira/ kipato. Watu hawana kazi ndo maana wanaendesha mijadala/ maandamano ya kidini/siasa uchwara. Wanaghafilika/frustrated. Empty brain is always occupied by devil!. Pita Manzese na Ubungo mijadala ya udini inaendelea usiku. If you don't act promptly, the heat is coming, watch out for more evil chaos.

May God save our Nation!

Candid to my Country
 
tatizo la hawa wenzetu udini unawamaliza na uelewa mdogo walionao.kama swala la kudai muungano ufe kanisa linauhusiano gani na muungano?serikali ni lazima iwakamate hao watu na kufikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake
 
ni rahisi kuongea, wazanzibari sio watanganyika, ni watu wasioogopa kufa , angalia yalotokea bara arabu !

haijalishi mkuu mnadhani fujo ugonvi na vurugu ndo mwisho wamatatizo yenu??
Huu ni ujinga mkuu wala si kujisifia huna tofauti na anayejisifia kutembea na wanawake wengi.
Unajivunia ugaidi mkuu daaa endeleeni kuchoma makanisa basi!
 
Rais wa nchi hadi hii leo yuko kimyaaaaa

Jamani Zanzibar ni nchi inayojitegemea nafikiri Dr. Chein ndiye mwenye zamani ya kusema chochote. Kikwete nafikiri hana nguvu ya kusema chochote - suala la Muungano wandugu LAZIMA lijadiliwe - kusema ukweli Majority Muungano NO - wachache wanaojua wanachokipata ndani ya muungano ndio wanaung'ang'ania
 
Wanajidai nao ni boko haram watanzania,nyie wanzanzibar,wenye idadi ya watu ambao ata milioni2 hamfiki,mnadhani hyo ni njia sahihi yakufikisha ujumbe?uko mnapoelekea nikubaya hampawezi na walahamtofanikiwa,kama ni vita ya udini angalieni kasheshe iliyotokea kati ya US& na baadhi ya mataifa ya middle east,badala ya kukaa na kufikiria vitu vya msingi mnakaa nakufikiria+kutenda upuzi,kweli kumcha mungu ni chanzo cha maarifa,nyinyi mmepoteza mwelekeo,kuweni makini hii dini ya kikristo si ya kimchezo wameishindwa wengi kuiangusha.
 
Ni rahisi kuongea, wazanzibari sio watanganyika, ni watu wasioogopa kufa , angalia yalotokea bara arabu !

mkomatembo,

Kumbe ndo mnavyojidanganya eh?? Kwamba Wazanzibar siyo Watanganyika kweli??? Unaijua historia ya Visiwa vya Unguja? Wewe inaonekana ni maaruni wahedi. Jinga kabisa. Hujui kuwa WAARABU KINA SULTAN WALIKUWA WAKIWACHUKUA BABU ZAKO NA BIBI ZAKO KUWAFANYA WATUMWA? Kwa taarifa yako wewe unayedai Mzanzibar ni zao la MWARABU aliyelala na kijakazi BIBI yako wakti anafanya kazi kwa Mwarabu. Nyie WAPEMBA na WAUNGUJA ni mchanganyiko(CROSS BREEDS)wa KIARABU NA WATANGANYIKA.(Wanyamwezi,Wasukuma,Wanyakyusa,Wadigo,Wasambaa,Wamakonde,Wasegeju, Wahaya, Waha) na kabila zingine unazozijua toka Tanganyika.

There is no PURE ARABS in Zanzibar. It is just a bunch MIXED BLOOD between ARABS and TANGANYIKANS. Kwa hiyo ZANZIBAR msijidanganye kuwa nyie ni WAARABU. You are not to begin with. ASILI YENU NI HUKU BARA YA TANGANYIKA.
NINACHOWEZA KUSEMA TU NI KWAMBA MMERITHI ILE LAANA YA MIARABU. Ndiyo maana huko ARABUNI KILA KUKICHA NI VURUGU TUPU!
 
Askofu pengo yuko wapi?

mbona hatoi tamko juu ya hili?


Unauliza kauli ya Kardinali Pengo kwa nini usiulize kauli ya Dr Chein au Makamu wa Kwanza wa Raisi Seif Sharif Hamad? Lile ni tukio lililofanywa na watu wengi ina maana mtandao wa usalama wa Taifa haukuweza kulithibiti tukio hilo katika hatua za upangaji kabla halitaleta madhara? Mbona kina Kambona hawakuwahi kuidhuru Taifa enzi zile hata mawasiliano ya simu yakiwa shida?
 
Vijana wa kazi wameshatua na kama mko kwenu na hamuogopi hebu jaribuni kufanya tena ufirauni wenu kama hamjawa vilema wa kudumu....Na askari walokuwa wakiwachekea chekea walozoea kusema mguu sogeza wote wanapelekwa Kanda maalumu TARIME halafu huko tumeleta vijana wa Kazi......Chezea Tanganyika wewe....unataka kurudi shimoni mombassa mkaendeleze ile bisashara yenu??

Na pia naona wamewaachia hao waliowakamata kwa amri ya haohao vijana wenu wa kazi akina Nchimbi na S. Mwema si nyinyi ma vijana wa kazi, mngali wazuia tuuu!!!

Wewe unadhani ni muda wa kutishana, soma mishale ya wakati usiwe CCM kaka, nguvu ilitumika lakini haikufua dafu na ndio maana wakasalim amri kwa mashekh wetu.

Ondoa tundu lako.
 
It is very possible uamsho wana preach kitu kingine lakini ma fanatics wa kidini wameelewa vingine wakaitumia hiyo nafasi.

Au, uamsho wana agenda za kibaguzi za kidini lakini wanajifanya wapo kwa maslahi ya kisiasa mwisho wake nchi ijitenge waifanye kama Somalia ilivyofanywa na Al Shabab hamna maendeleo , hamna shule, hamna hospitali inabidi ni ruins tupu.
 
Kuna kipindi walichoma bar matokeo yake wakapatwa na janga la kuzama kwa meli ya spice islander....
kwa kuchoma makanisa wazanzibar watapatwa na janga ambalo hawatalisahau kamwe....kutakua na kilio na kusaga meno!
 
Tutawaona mtakatana mikono, vichwa , mtapigana mawe mpaka mfe!! Nyie wenzangu weusi mtafukuzwa, hapo ni pa waarabu wa Oman, washenzi nyie weusi hamjui hatima yenu itakuwaje mkisha toka kwenye muungano!! Hopeless blacks!!!

Nadhani kuna kundi la wapumbavu wanaosikilizwa sana huko znzbr.udini na makanisa ni kisingizio tu cha kutaka attention kuwa wana ishu ya kusikilizwa.makanisa yanawakosea nini?wakivunja na waliopo hapa wa huko wakitimuliwa tuwaache waolewe na waarabu wao sidhani kama tutapungukiwa kitu zaidi ya kupoteza kitu kizuri cha muungano.muungano kama ndoa,ni jambo jema,halitakosa mapungufu ya hapa na pale.ni kukaa na kusikilizana na marekebisho yafuate.nadhani ikibidi na waachwe na kakisiwa kao then tuangalie baada ya miaka kumi,inshallah kama tutakuwa hai.pia naamini hapana mkono mgumu wa kuwadhibiti sawa sawa kule.hata wakiachiwa kisiwa chao,watatafuta na utengano mwingine.....ukimpa uhuru wa kuchagua mtu mpumbavu,atachagua upumbavu tu-achaguliwe ndio suluhui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom