Mbatia alipewa milioni 50 na sabodo uchaguzi 2010

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Habari zimevuja kuwa James Mbatia alipewa milioni 50 na Mustafa Sabodo kwa ajili ya kusaidia kampeni za NCCR - MAGEUZI mwaka 2010, lakini hakuzifikisha katika mfumo wa Chama, baada ya kuvuja kwa siri hiyo, baadhi ya viongozi walimfuata Mzee Sabodo ambaye alithibitisha hayo na walipomuuliza Mbatia juu ya hilo akasema ni kweli Sabodo alimpa milioni 20 si kama mchango bali alikikopesha chama na tayari wao na Ruhuza wamekwishamlipa Mzee Sabodo. Waandishi twawaomba mfuatilie suala hili kwa kuwauliza Mbatia, Sabodo na Ruhuza ili kuweka mambo hadharani na kuleta uwajibikaji wa rasilimali za wapenda demokrasia nchini.
 
Mwaka huu tutasikia mengi, wahindi wajanja sana wamejiingiza kwenye vyama vya siasa kwa maslahi yao..

Sabodo ni noma anatwanga kotekote!
 
Mwaka huu tutasikia mengi, wahindi wajanja sana wamejiingiza kwenye vyama vya siasa kwa maslahi yao..

Sabodo ni noma anatwanga kotekote!

issue hapa ni kwamba Sabodo anasema alichangia kusaidia kukua kwa demokrasia, Mbatia hakusema na viongozi wenzake walipogundua na kumhoji Sabodo akathibitisha kukisaidia chama ndio Mbatia kujitetea akapunguza kiwango na kusema si msaada bali ni mkopo, kumbe ndio maana Mbatia anaishi na kutanua bila kazi wala biashara hapa mjini.
 
Kabla waandishi hawajafanya huo uchunguzi,je information hizo zimevuja kutoka wapi?na kama izo information hazijatoka kwenye reliable source uwoni utakuwa unanganya umma na kisheria pia ni kosa?tumechoka na rumors ambazo hazina msingi justify na pia toa proof yakutosha,isije ikawa ni maswala ya hearsay cz we will consider it irrelevant.
 
Jamani kwani mtu akitumia fedha zake binafsi alizopata kwa nguvu zake ni kosa?na je mtu akipewa posho kutoka ndani ya chama chake pia nikosa,mbona hao magamba hamuwasemi na wewe pia una locas stand gani juu ya matumizi ya mbatia,je uyo mbatia hapaswi kustare na kupumzika kwa nafasi aliyonayo,jamani kwani kupewa mkopo ni kosa?na muhusika mwenyewe sikaadimit kwamba ni kweli,sasa argument zoote hizi za nini tumieni reasoning wakati wakuto mada
 
na katabia kale kambatia tunajiuliza sabodo alipewa nini in return...
tamaa ya pesa ya huyu jamaa ndio maana tunaambiwa alianza kale kamchezo alipokuwa kilimanjaro sekondari,pengine watu walimpa ubwabwa tu mchezo ukaisha!!!si unajua enzi hizo boda wali adimu...
 
Mkisha fuatilia hizo za Sabodo mfuatilie zile milioni 80 alizovuta toka CCM. Du Mbatia ni noma anatwangwa kote kote.
 
Du siku hizi zinatoka movie Kali na ziko Juu , wakati bado ile movie ya Richmond ikizidi chart, ikaja ya EPA nayo ikiwa bado hewani ikaja ya Maghamba. Sasa zunawika mbili ya Wafu CUF na NCCR Manunuzi. Du
 
Mwaka huu tutasikia mengi, wahindi wajanja sana wamejiingiza kwenye vyama vya siasa kwa maslahi yao..

Sabodo ni noma anatwanga kotekote!

Lakini Wahindi hawa si walikwisha jipenyeza katika chama cha Magamba tangu enzi na enzi? Ni kweli wajanja saaaana!
 
Lakini Wahindi hawa si walikwisha jipenyeza katika chama cha Magamba tangu enzi na enzi? Ni kweli wajanja saaaana!
Hata yule kinara wa EPA Jeetu, alimpa mzee wetu Tingatinga shs milioni 200 ili amuoe mama yetu "Bungeni hapatatosha" wakati huo Mzee akiwa mwenyekiti mdogo wa Chama chetu upande huu wa nchi kavu.
Source; Sophia Simba ndani ya kikao cha Chama.
 
Ni kweli kabisa maana kwenye CCM wamejaa tena wote wezi na sasa nafac zimejaa wanatafuta pa kutokea ndio maana wanasaidia upinzani japo hawa wanaosaidia upinzani si wezi kwani ccm wangewafixx
 
Du siku hizi zinatoka movie Kali na ziko Juu , wakati bado ile movie ya Richmond ikizidi chart, ikaja ya EPA nayo ikiwa bado hewani ikaja ya Maghamba. Sasa zunawika mbili ya Wafu CUF na NCCR Manunuzi. Du
umesahau ile movie ya chadema kwenda kunywa juice ikulu na kuwa na uhusiano wa karibu na chama cha cameroon (PM-UK)
 
Ama kweli NCCR kimenuka sasa! Full kuwindana mpaka wakimaliza chama kipo hoi zaidi kwani sasa angalau kdg walianza kuamka tena
 
Habari zimevuja kuwa James Mbatia alipewa milioni 50 na Mustafa Sabodo kwa ajili ya kusaidia kampeni za NCCR - MAGEUZI mwaka 2010, lakini hakuzifikisha katika mfumo wa Chama, baada ya kuvuja kwa siri hiyo, baadhi ya viongozi walimfuata Mzee Sabodo ambaye alithibitisha hayo na walipomuuliza Mbatia juu ya hilo akasema ni kweli Sabodo alimpa milioni 20 si kama mchango bali alikikopesha chama na tayari wao na Ruhuza wamekwishamlipa Mzee Sabodo. Waandishi twawaomba mfuatilie suala hili kwa kuwauliza Mbatia, Sabodo na Ruhuza ili kuweka mambo hadharani na kuleta uwajibikaji wa rasilimali za wapenda demokrasia nchini.
Sabodo huwa hakoshi vyama pesa bali anatoa kama Msaada , hivy kauli ya Mbatia kuwa amekopa ni uongo ,pia Mtu anawezaje kukukopesha bila wewe kwenda kukopa???

Pia unawezaje kwenda kukopa pesa ya Chama bila kuarifu Kamati kuu ya Chama ???
Utalipaje deni la Chama bila kutumia fedha za Chama ???
Wakati analipa hilo deni NCCR ilikuwa haina Ruzuku ,je alipata wapi Pesa , kama sio dalili za wizi kutoka CCM???

Hapa ni hatari ninapo endelea kutafakari !!!

Lakini nakumbuka hata CAG japokuwa anamapungufu alisha hoji matumizi ya NCCR nashauli CAG arudi tena kuchunguza Mapato na Matumizi ya NCCR maana mapato ni makubwa lakini hayatokani na Ruzuku bali misada ya CCM
 
mpaka sasa chama kilichotulia ni chadema tuu,mwaka huu kazi ipo.
Hii ni kweli kabisa ,lakini nikwambie ukweli zaidi kuwa mti wenye matunda ndio unapigwa sana , angalia sana akina Shibuda na kundi lao ,pia Omba sana MUNGU UCHAGUZI WA MWENYEKITI TAIFA UNAKUJA MWAKANI!!!

Je nani atakuwa Mwenyekiti kati ya hawa:
Mbowe-30%
Slaa_
Zitto-70%
Safari_
Marando_
 
Hata yule kinara wa EPA Jeetu, alimpa mzee wetu Tingatinga shs milioni 200 ili amuoe mama yetu "Bungeni hapatatosha" wakati huo Mzee akiwa mwenyekiti mdogo wa Chama chetu upande huu wa nchi kavu.
Source; Sophia Simba ndani ya kikao cha Chama.
Unakumbuka kesi ya ANNE KILANGO NA SOPHIA SIMBA??????
 
Back
Top Bottom