Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

Ama kweli Tanzania, siasa ndio kampuni kubwa yenye kutoa ajira kwa maelfu ya ambious people. Kama nguvu za kukaa kwenye siasa zingeelekezwa kwenye viwanda na ujenzi wa makampuni ya kibiashara hadithi ya Tanzania ingekuwa tofauti. Kwangu mini Hamad Rashid is one of them.
 
Hivi MS ni mwandishi wa habari??
hizo habari unazoleta na kuziandika zina typing error kibao wanaosoma habari zako wana roho ya Paka...


Hata mimi nimeshangaa kusikia kuwa ni mwandishi wa habari......Kwa uandishi wake nina wasiwasi naye. Kuna wakati alijidai anaenda Australia kufanya PhD ya Engineering.... siju iliishia wapi!!
 
kulikuwa namjadala mzuri sana wapo radio juu ya swala hili huko nikagundua niwatu makini wanaijua siasa na watu wazima waliopevuka. Kuna watu wawili walioachangia mjadala wote walifanana mmoja akijitambulisha kabisa ni mwanzilishi wa cuf na mwingine ni member wa cdm. Waliongea vitu vyamaana sana. Kuanzia ccm ilipomfukuza mwanachama wake nguli wa mkoa wa dsm,cdm wanachama wake kule arusha tena madiwani(ikumbukwe si wanachama wakwanza kufukuzwa cdm wamepita wengi kuna waliofukuzwa thelathini kwa mpigo kuna akina kafulila hao ni wachache tu). Wakaja upande NCCR kufukuzwa kwa KAFULILA. Nahili la CUF kufukuzwa kwa HAMAD,ndio mambo yanayofanyika ktk vyama.mtangazaji mbogo wa wapo redio aliweka mada mtindo huu uliozuka wakufukuzwa wanachama haswa waliokuwa wakilishi wananchi ndio demokrasia ya sasa ktk vyama. Watu hawa waili walijibu ndo demokrasia nasio mtindo wa sasa upo muda mrefu kulikuwa na akina mapalala ambaye alikuwa mwenyekiti wa cuf aliondolewa hivihivi. Jamaa wa cdm alipongeza kuondolewa kwake Hamad Rashidi akasema kabisa njia aliyotumia sisahihi hata pale alipokuwa hamad akiambiwa sivyo unavyokwenda alizidi hakusikiliza alichoshauriwa. Jamaa wa cdm aliendelea kusema tabia ya hamad kutaka madaraka iliyopelekea hata bungeni kutaka kutengua kanuni ili kuwe na kambi ndogo ya upinzani ili akae yeye baada ya jaribio hilo kushindwa na kukosa pia nafasi ya uwaziri upande wa zenj hivyo Hamad akawa hana cheo akaamua kurudi ndani ya chama kuanza kutoa shutuma kali kama maalim kaua chama shutuma nyingi shutuma hizo ni sawa hatuna tatizo nazo je njia anayotumia ni sahihi kwanini asianze taratibu ambapo uchaguzi ndani ya chama bado 2014, aanze taratibu anapesa anatembea kujenga chama kisha uchaguzi unapofika toa yote yaliyo moyoni, sio sasa halafu unamlenga mtu mmoja tu maalim ndio tatizo, unakatazwa husikii hatua gani itafuata hapo kama sikufukuzwa na ndio ilivyo Kwa KAFULILA,alikua hasikii akikomaa tu sasa ndo walichovuna. Nakuja nayangu mie pia yananikumbusha kwa upande wa marehemu CHACHA WANGWE, nae alianza mfano huo lakini yeye harakati zilienda chinichini na akijumuisha ni uongozi wote ulikuwa na tatizo ulienda kidugu CHACHA WANGWE aliongea wazi na kuitangaza kama anataka nafasi ya mwenyekiti mbowe, hawa KAFULILA NA HAMAD WASHUKURU HAWAJAONDOLEWA UHAI. So yaliyotokea wote tuna jua ni Kifo chakupangwa cha CHACHA WANGWE. Kwani waliona ni vigumu kumuondoa uwanachama kwani tayari alikuwa na mizizi na madai ya kweli kuwa nafasi zajuu ni za Kichaggaa haina kulemba aliongea wazi kama kuna watu walikuwa hawajazaliwa ama walikuwa hawana means ya kupata taarifa basi wana bahati mbaya sana kwani jf vijana mnakurupuka japo mi ni kijana 27 years nimeyaona yaliyotokea nikiwa na akili zangu.
 
Hakika chadema pekee ndio chama kinachomfaa mtu mwenye uchungu wa kweli wa kutetea wananchi,Tumuache maalim seif aendelee na siasa zake za kibaguzi Cuf,najua tatizo kuu ndani ya chama hicho wanataka mtu mwenye rangi kama Ismail Jusa ndio aw katibu mkuu na aende ikulu.Achana nao hao karibu kambini tuwasambaratishe ukija huku 80% uhakika kurudisha jimbo mikononi mwako
 
Alisema hawapo tayari kujiunga na chama chochote cha siasa kama maneno yanavyosambazwa kuwa watahamia Chadema. Alisema watafufua Chama Cha Wananchi (CCW) ambacho kiliungana n Kamahuru na kuipata CUF.
hili jina " CHAMA CHA WANANCHI - CCW " mahakama italikataa kwa kusema kuwa ni jina la CUF watashauriwa watafute jingine
 
"MS alikuwepo Zanzibar. kama Mwandishi wa habari, akishuhudia Hamad Rashid akifurushwa"
Jana Jioni nilikuwa Jos kona Ngome kuu ya Cuf iliopo Soko Muhogo Baada Ali Salehe kuripoti kupitia BBC, washabiki wa CUF
walipiga mayoe kwa furaha, yaani ukiwahoji ni wazi wamemchoka Hamad Rashid.
Saa 1:00 jioni. Mtaa wa Mtendeni, makao makuu ya CUF. cuf haikuzaliwa Arusha. moshi, Tabora. Imezaliwa Malindi na kama kufa itafia malindi, hamad Rashid ziiiiiiiiiii

Saa 2:30 usiku nilipofika maskani ya CUF Jangombe gengeni, mazungumzo Hamad Rashid kesha, akachume karafuu Pemba. hali ni shwari.
Saa 3:00 Usiku. Ngome nyengine ya CUF Jangombe kwa maharuki anapotoka mmoja wa vijana waliofukuzwa yaani Saanani. maneno ni hayo hayo. Aende tu Chadema. acheze na Ndevu za Seif asicheze na akili ya Seif(Maalim seif)
Leo saa2:00 asubuhi. daraja bovu,Ofisi ndogo ya CUF . Hamad rashidi ni m-mboya tu, akatafute Ubunge Moshi. hapa nooo.

Magomeni ngome ya CUF:matangazo yao" Hamad rashid kavuna alichopanda. aanzishe chama Chake, yeye na familia yake"

Vituo vya Magazeti.
Yakheeeeee, kakie hamad umemsikia? eti anataka kuwa mbunge wa Mahakama. kanchoka tena.

Km na ww ni mwandishi wa habar,bac fani ya uandishi wa habari imeingiliwa na vilaza km ww
 
kwa mtazamo wangu kweli HR ana safari ndefu ya kisiasa kwa sasa. Lakini hapa vyama vya upinzani viwe makini sana na huyu bwana. Inawezekana huyu jamaa akawa anatumiwa kudhoofisha upinzani.

Hapa inabidi vyama vya upinzani hsa Chadema wawe makini sans,vinginevyo watajifunga n huu mtegoo wa HR. Naweza sema huyu jamaa atatumiwa kwa kaazi aliopewa shibuda kwa kuwa shibuda imemshinda.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Tulisha mfanyia Interview tayari alishaonekana ,HR Vs Mbowe ,ukumbuki,CDM walishamuaona mapema ,tulichanganywa nakina Shibuda lakini huyu ni Hatari Mno,Tafadhali CDM I respect you!
 
Back
Top Bottom