Recent content by Festo Mwangungulu

  1. F

    Kivuko cha MV Ukara

    Hahahha umenikumbusha nyerere mkaraaa
  2. F

    24 series na prison break ipi kali?

    Hapo ukitaka kujua bora zaidi weka ka utafiti kadogo uliza kati ya 24hrs na prison break ipi umeirudia kuangalia tena na unatamani kuangalia tena. Hapo jibu litakuwa ni prison break.
  3. F

    Msaada wa Web hosting

    Nashukuru mkuu, ila nimeshapata msaada nilioutaka
  4. F

    Msaada wa Web hosting

    Nashukuru nimeshawasiliana nae
  5. F

    Msaada wa Web hosting

    Habari wakuu, kuna mtu humu ndani anafanya web hosting kwa kutumia sentora panel. Naomba tuwasiliane kama yupo au unaemjua.
  6. F

    D.B.COOPER( mtekaji wa ndege aina ya Boeing mwaka 71) : Ushahidi mpya wapatikana

    Mbona bado kuna ukakasi kwenye huo uchunguzi wao. Wangejiuliza je kuna mfanyakazi yeyote alie toweka wakati wa tukio kati ya hao waliokuwepo kipindi kile. Na kama yupo analingana na michoro ya awali. Na kama hayupo huo utafiti utakuwa wisho wake hapo kuhusu mmoja kati ya wafanyakazi anaweza kuwa...
  7. F

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Mkuu habari, mimi tangu nimejiunga humu nashangaa nimekuwa nafuatilia story zako za tangu zamani, hadi najuta kwa nini sikuwa nafuatilia jf ingawa nilikuwa naifahamu. Ubarikiwe kwa kipaji chako na kukutakia heri kiweze kukuletea kipato na uweze jivunia. Naomba unitag nami nipate kujua...
  8. F

    Christian Ronaldo yupo kundi gani hapa??

    1kg + 1kg = 2kg 1ujinga + 1ujinga = 2ujinga
Back
Top Bottom