Christian Ronaldo yupo kundi gani hapa??

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
1483537009505.jpg
 
Christiano ana combination ya vyote
Hao wana kimoja kimoja so si vzuri kumdhalilisha na kumfananisha na vitu vya kijinga hivo.
haaaaahaaa sa Ronaldo anaweza kupiga shughuli ya Pepe kweli au Fundi Pirlo mkuu?labda tuseme yeye hayupo popote pale mkuu
 
haaaaahaaa sa Ronaldo anaweza kupiga shughuli ya Pepe kweli au Fundi Pirlo mkuu?labda tuseme yeye hayupo popote pale mkuu
Ronaldo mbona sku hizi ana defend sana tu.
Je pepe anaweza kupiga shughuli ya ronaldo!?
 
hahahaaa mkuu wee utakua Timu Ronaldo tuu...Yule mzee wa Kutengewa na kumeza tu bhanaa.
Hahaha
Ndio tatizo la kuskillizia mpira kwenye XXL hilo
Jitahidi uwe una angalia mechi utajua Ronaldo yukoje
 
ujinga mdogo-mdogo ukichanganywa sehemu mmoja unakua ujinga mkubwa.
Hapana wewe umelichukua neno ujinga kama msamiati wa lugha tu
Na mi siko kwenye lugha niko kwa mpira.
Hao ni wajinga kwa kuwa wana kitu kimoja kimoja
Cr 7 si mjinga kwa kuwa ana vyote
 
Hahaha
Ndio tatizo la kuskillizia mpira kwenye XXL hilo
Jitahidi uwe una angalia mechi utajua Ronaldo yukoje
daa mpira sio leo wala jana nimeanza kuangalia nimetembea zaidi Km 15 kwa kufuata mpira tuu mkuu.

mimi hata Ndondo cup huwa naangalia siachi kitu.
 
Hahaha
Ndio tatizo la kuskillizia mpira kwenye XXL hilo
Jitahidi uwe una angalia mechi utajua Ronaldo yukoje
mkuu mpira sijaanza kuangalia leo wala jana nimetembea zaidi ya km 15 kufuata mpira tu.

mimi hata Ndondo huwa Naangalia kwa kifupi sibakizi kitu aisee
 
mkuu mpira sijaanza kuangalia leo wala jana nimetembea zaidi ya km 15 kufuata mpira tu.

mimi hata Ndondo huwa Naangalia kwa kifupi sibakizi kitu aisee
Then ile comment ya cr 7 ulipotoka bas maana si kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom