Recent content by Festiledi

  1. Festiledi

    Naomba kujuzwa tiba ya Mapafu yaliyoharibika sana

    Wakuu habarini za muda huu, Naomba msaada wenu juu ya tiba ya mapafu yaliyoharibika sana, Natanguliza shukrani za dhati.
  2. Festiledi

    Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Utakasirika kwa mangapi mkuu? leo nyama imengua kesho luku keshokutwa sijui itakua nini....Tumakosa kama huto ni twakuvumilia tuu. NB; kama huwezi kuishi na mtu ishi mwenyewe kuepuka gadhabu kama hizo
  3. Festiledi

    Ubachela raha sana

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  4. Festiledi

    Ubachela raha sana

    Ni raha kwa sababu hujapata tulizo wewe[emoji28] siku ukipata utatamani weekend ianze jumatatu
  5. Festiledi

    Ubachela raha sana

    Kuishi na binadamu yoyote yataka moyo mkuu, haijalishi me/ke. Kikubwa we ishi maisha yako wewe kama wewe, duniani tunapita tu
  6. Festiledi

    Sipendi kuzungushwa na mabinti ninaowatongoza

    We mwenyewe kizunguzungu haha yani tit for tat NB, me sipendi kuzungushwa na hela yangu, ntakurushia hata jini cheketu kibwengo
  7. Festiledi

    Ubachela raha sana

    Hakuna raha ya kua bachela sema tu ni roho mbaya imekujaa[emoji28]
  8. Festiledi

    Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku

    Maneno matamu yana raha yake...japo ni uongo kama hiyo no 1[emoji23][emoji23]
  9. Festiledi

    Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Baadhi ya wanawake wapo hivo (vichwa panzi), lakini mwanamke mwenye aliki timamu na anaejua nini anafanya hua anapambania kombe lake hadi mwisho wa ligi.
  10. Festiledi

    Hii siku 26/4 na matukio yake ndani ya maisha yangu

    Amini kwamba Mungu anakusudi na wewe.
  11. Festiledi

    Kwa mara ya kwanza ulingoni

    Ahsante sana mkuu[emoji1488]
  12. Festiledi

    Kwa mara ya kwanza ulingoni

    Hahahaha ahsante sana
  13. Festiledi

    Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ndio ujira wako
  14. Festiledi

    Nimeshuhudia wizi wa ajabu huku kwetu

    [emoji23][emoji23][emoji23] sijui wametumia hesabu ya darasa la ngapi
  15. Festiledi

    Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Uzalendo kwa maendeleo endelevu
Back
Top Bottom