Expert911
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 695
- 1,239
Aloo! Kwanza nishapigwa tukio akinipenda mama inatosha ...Ni raha kwa sababu hujapata tulizo wewesiku ukipata utatamani weekend ianze jumatatu
Aloo! Kwanza nishapigwa tukio akinipenda mama inatosha ...Ni raha kwa sababu hujapata tulizo wewesiku ukipata utatamani weekend ianze jumatatu
KUna age limit... Bachela wa 55 years (namaanisha ambaye hakuwahi kuoa au kuolewa) usije ukadhani ana raha ile ile kama bachela wa 25 years..!!! Ukishamaliza kuruka ruka ndo utajuwa ubaya wa ubachela..Wakuu najua mko poa,
Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa.
Kwanza hakuna kubanwa kama ambao wako kwenye ndoa
Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana
Upangiwi cha kufanya
Unarudi kwako mda unaotaka
Unaishi kwa furaha sana
Unajipenda sana
Mabachela mkuje hapa tupeana stori mbili tatu
BAchela una watoto watatu..!! Kila mtoto na mama yake?Bachelor sugu nipo hapa,sijaoa ila Nina watoto watatu Maisha burudani kabisa,staki kusikia mambo ya ndoa
That's point bro ila ikifika muda unasaka dundo la kumalizia nalo maishaaaKUna age limit... Bachela wa 55 years (namaanisha ambaye hakuwahi kuoa au kuolewa) usije ukadhani ana raha ile ile kama bachela wa 25 years..!!! Ukishamaliza kuruka ruka ndo utajuwa ubaya wa ubachela..
Kuna vitu ukivifanya ukiwa bachela mwenye 25 years utaonekana upo sawa, lakini ukifanya yale yale ukiwa bachela mwenye 55 years HADI WEWE MWENYE UTAJISTUKIA...