Mkuu mbona kila post unajibu wewe tu Mmawia? Maskini kumbe wewe na familia yako ndo 25million ya wa TZ mnao mwamini mzee wa deals! Ama kweli mmeumbuka! Na bado subirini atumbuliwe majipu maana anayo kadhaa
By Malisa GJ,
Katika ndoto niliyokuwa nikiota itimie ni ya Dr.Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu. It waz ma long time ambition japo sikujua ndoto hii itatimiaje maana Ndalichako si Mwanasiasa. Hawezi kugombea Ubunge ili ateuliwe Waziri. Kwahiyo Nalichako kuwa Waziri ilikua ni "muujiza"...
All in all uongozi wa mzee JK umeiingiza nchi pabaya. Amewachekea wezi na wakwepa kodi. watu wame fanya watakavyo na yeye anaangalia tu. Kwakweli hiyo tu inatosha kuwaona wao pia waliiba. Wametutesa sana hawa jamaa
Rais wetu JP Magufuli ameshaanza kutekeleza ahadi kwa oesa za ndani sasa sijui unasemaje kuhusu hilo!
We endeleza fikra zako tegemezi. Suala la Zanzibar linashughulikiwa kwa taratibu na sheria siyo kwa kuzima moto. #hapa kazi tu.
Mkuu Hebu jikwamue kimawazo na fikra tegemezi. Inawezekana kabisa kujitegemea. Tuna kila lasirimali za kujikwamua kutoka tulipo. Kutembeza bakuli siyo deal! Tufa ye kazi tutende haki, tufanye kazi ki halali nothing is impossible
Ni kweli wametuingiza mikataba ya kishenzi sana. Ona mikataba ya Richmond jamaa wamepiga hela afu leo wanajinasibu kwamba ni wasafi wanagombea hadi urais eti kisa demokrasia inawaruhusu wafanye hayo. Democracy my foot. Rais wetu JPM we piga kazi tuko nyuma yako. Nchi itajiendesha kwa mapato yetu...
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuilinganisha nchi yetu na Burundi. The situations are totally different. Ubakwaji gani wa demokrasia umefanywa? Nyie ndo vibaraka wa nchi za magharini. Km unaijua demokrasia kamuulize JOHN Kerry alipogombea huko huko ilikotoka hiyo demokrasi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.