Recent content by Ferrenga

  1. Ferrenga

    Dawa ya Amiba na Typhoid sugu

    Kwa hizo dalili inawezekana una typhoid au UTI..ila lazima uende kwa wataalamu wa afya ukapate vipimo,ili ujue ni nini exactly kinakusumbua..
  2. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni muda wa mou kusepa...hivi mmeona post press conference yake alivokuwa anaongea upumbavu?....analialia kuhusu penalt,na kuwalaumu tu marefa,wakati mpira tuliocheza jana tulikuwa tunastahili kufungwa..
  3. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ukisema mou hawezi kufundisha mpira wa kisasa,wanakupinga,wanasema hatuna wachezaji...
  4. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Timu apewe Omog aliyetimuliwa simba fc..jose should be sacked..
  5. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tangu pogba alivorudi hatujashinda hii ni mechi ya nne..na yeye ndo captain..kitambaa apewe mwingine aisee
  6. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wanataka tununue wachezaji kama city...
  7. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ndo hivo mkuu..watu wanapayuka tu
  8. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Salah anatakata tu huko..alikua flop kipindi yupo chini ya mourinho chelsea..
  9. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Timu yetu haiitaji panguapangua kama ya man city unayoisema wewe ..kuna baadhi ya wachezaji tu wachache inabidi waondolewe kama darmian,blind,zlatan,carrick na wengine wachache waongezwe ili kuimarisha timu... Mchezaji kama sterling msimu uliopita alikuwa anataka kuuzwa,ila msimu huu amengaa,na...
  10. Ferrenga

    Uzi wa vyakula tu

    Aisee noma sana
  11. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira haupo hivo.unataka tuwe kama Psg au?
  12. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Young Na Delf wanatofauti gani?...Herrera Na toure?
  13. Ferrenga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huu ni ukweli usiopingika..
  14. Ferrenga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utatokaje premier uende sportpesa?...ni sawa na kutoka Dubai na kwenda kuishi kigoma
Back
Top Bottom