Recent content by FENtastic

  1. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Ukitaka performative sound hela inakuwa ndefu. Mfano JBL 1300MK2.
  2. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    I can't say more. RD inastrugle kutokana na sheria za France Torbox iko vizuri at least kwa $3.
  3. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Oooh basi itakuwa hivyo. But so far so good compared na airtel ambapo walinipitisha kwenye moto kweli. ODU 2 na smart box 1🙌
  4. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Setup yangu nastream kutumia Tivimate, pili nina setup za movie/tv shows kupitia kodi na nuvio huko kote mara chache naangalia 1080p ukiachalia mbali matumizi madogo madogo ya simu. Ona hii attachement hizo gb hapo ni za siku 2 tu, device ikifikisha 500gb inarefresh kuanza kuhesabu upya. Angalia...
  5. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Line inakaa kote kote ila natumia router kuna comment nimepost picha ina hiyo router, 50mbps.
  6. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Daah basi sijakumbwa na hii kadhia mfano naangalia mpira 4k kwa lisaa na nusu hapo si ninakuwa nishamaliza cap ila sijawahi sumbuliwa kabisa.
  7. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

    cocastic nakusabahi;)
  8. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi natumia hii huduma kwa Yas ndio naona bora kuliko zile unlimited za kaiwada maana natumia speed ile ile mpaka mwezi unaisha bila shida yoyote na mara nyingi nafanya streaming ya 4K contents.
  9. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

    Senyagwa ni watu wa wapi? Au kabila gani?
  10. FENtastic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ni kuwa tu mpole. Sure.
  11. FENtastic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi kuna kitu kimenitatiza kidogo. Jana nimeona pdf ya CO kwa Dar es Salaam, nikirejea tangazo lao la July ni kuwa walikuwa wanatakiwa 42 kwa mkoa wa Dar es Salaam, unfortunately pdf imetoka na majina 62 na baada ya kuyapitia nimegundua kwa waliofanya Oral 13/09 only 14 ndio wameitwa. Maanake...
  12. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

    Mtu unajiita bando mc😂😂
  13. FENtastic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naomba kujua wapi nitaweza pata hizo pdf za afya hao walioitwa hivi karibuni
  14. FENtastic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    wametoa kada zote?
Back
Top Bottom