Mtu akifa anaenda wapi?

Mtu akifa anaenda wapi?

Majibu kuhusu nini kinachotokea baada ya kifo yanatofautiana sana kulingana na imani za kidini, tamaduni, na mitazamo ya kibinafsi. Hapa kuna maoni ya kawaida kutoka kwa tamaduni na dini tofauti:

1. Dini za Abrahamu (Ukristo, Uislamu, Uyahudi): Mara nyingi, zinaamini kuna maisha baada ya kifo. Katika Ukristo, inafundishwa kwamba roho inaweza kwenda mbinguni au kuzimu kulingana na imani na matendo yako. Katika Uislamu, kuna Siku ya Kiyama ambapo watu watasimamishwa mbele ya Mungu kwa uamuzi.

2. Ubuddha: Katika Ubuddha, inafundishwa kwamba kifo ni sehemu ya mzunguko wa maisha na kifo (samsara). Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea vitendo na akili za mtu wakati wa maisha yao. Lengo ni kuvunja mzunguko huo na kufikia Nirvana.

3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.

4. Mitazamo ya Kisekula: Baadhi ya watu wasio na dini au wanaoitwa wasioamini wanaweza kuamini kwamba kifo ni mwisho wa maisha na hakuna maisha baada ya kifo.

Ni muhimu kutambua kuwa hakuna jibu la hakika kuhusu jambo hili, na imani hizi ni sehemu ya tamaduni na dini tofauti. Watu wana imani tofauti, na ni suala la kibinafsi kujua na kufikiria kuhusu jambo hili.
Je kifo ninini?

Death is the state of a very long journey.. Death is not a process.. Kifo sio mchakato kifo ni mwanzo wa safari ndefu into the vast emptiness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Imani HAYO... Inaweza ikawa kweli au SI kweli. Binadamu mambo Yao yote yasiyo na majibu wanayapeleka kwenye Imani. Iweje Ng'ombe ambaye ana damu (yenye cell kama yako) akifa asiende Mahalia ila wewe uende?!!

Hao.Jehova''s Witnesses obviously wamekuwa infiltrated na Freemasons na Illuminati.
What happens after death?
Nitaandika zaidi baadaye. Lakini Sasa nataka kwenda kwenye evening stroll. Nataka kwenda kurandaranda ghettho kidogo.
 
Nashangaa sana. Kwamba msichana anaweza kuongea na boyfriend wake katika simu,for one hour non+ stop,au two hours. Wanaongea nini?
Anyway,tulikuwa tunajadili life after death. Sasa,haya sio maoni,siyo dini yoyote,ni hali inavyokuwa.
Mtu anakufa. The body breaks down,na mtu anakufa. Anapokufa,astral body inatoka,Silver Cord,inakuwa nyembamba,halafu inakatika. Ikikatika,physical body inakuwa corpse,na astral body inaanza safari yake.
Zipo Aina tatu za watu wanaokufa. Aina ya Kwanza ni watu ambao wako katika low stage of evolution. Wengine ni intermediate,wako kati. Wengine ni evolved souls.
Wale unevolved souls wanakuwa katika hali ya shock baada ya kufa na labda watapokelewa hospitali,watapigwa "msasa" kabla ya kuelekezwa kwenda kwenye Hall of Memories.
Watu wote wanaokufa wanakwenda kwenye Hall of Memories,baada ya three earth days. Lakini duration wanayokaa humo ndani siyo specified. Katika hiyo Hall of Memories ndio watataona maisha yao waliuoishi na kama walifanikiwa katika malengo yao waliyojipangia kabla ya kwenda duniani.
Baada ya hapo,kama ni watu wa kawaida,usually,watakuwa wamefanya mambo mengine vizuri,na mengine yanahitaji marekebisho.
Wanakwenda kwenye Board(Kamati ya Washauri),washauri wa Serikali,Astral Government,ambapo wanashauriwa kurudi duniani Kama qanataka kujifunza zaidi.
Wazazi wanachaguliwa na mtu anazaliwa tena.
Kuhusu wale evolved souls,huwa wanapewa choice,kurudi duniani au kukaa kwenye astral worlds kwa muda. Hawa watu wanaweza kuishi ughaibuni for 100 years au zaidi before being born again to earth.
Hizi birth huwa zinaduata signs of the zodiac . Lazima u,aliwe:uwe Scorpio,siku ingine uwe Taurus,mpaka uzimalize sign zote.
Siyo hivyo tu. Zile zodiac signs zina quadrants,section nne. Lazima uzaliwe katika kila quadrant ya kila sign
Mambo ya quadrant labda wanajimu ndio wanayafahamu.
Lakini quadrant ya kwanza nadhani,mtu anaishi solitary life
Quadrant ya pili,mtu anakuwa artist au inventor
Quadrant ya tatu,mtu anafanya great things,lakini kwa kushirikiana na mtu mwingine,kama Marx and Engels
Quadrant ya nne,mtu anaishi extrovert,social life .
Halafu unafika wakati ambspo umeshajifunza kila kitu,huhitaji kuzaliwa tena duniani. Hapo unakufa na unaingia kwenye pari- Nirvana.
Kama Mkristu atakufa ataziona Pearly Gates na malaika wenye mabawa,au kama Mwislamu ataona seventy virgins come to greet him,hizi ni illusions ambazo zitaondoka baada ya muda. Wanawake sabini hawapendi kuolewa na mwanaume mmoja.
 
Kuna mtu alikufa na kupelekwa mochuwari akakaa huko siku tatu akafufuka akasema ameona ulimwengu wa ajabu na mbingu nyeupe.
 
Ukimchinja ng'ombe, mbuzi, kuku n.k pia mende, sisimizi n.k wakifa zile roho zao huwa zinaenda wapi?
 
Ndo maana kuna MAMIZIMU mengi sana yanayotokana na HAWA WAJINGA waliopo humu, wakifa wanaanza kutusumbua!!

Kwa sasa yako bize yanashabikia SIMBA na YANGA. Lakini yakifa YANAPAGAWA yanaanza kutusumbua.

Mwaka huu tutawafumua viwiko. Ukija kama MZIMU Nakubutua tako.

Lamomy njoo uone MIZIMU TARAJIWA.
 
Ni ngumu sana kupata watu wenye akili kama wewe hapa Tanganyika.

Tumezungukwa na MA-IGNORAMUSES kila pande. Yako bize yanashabikia YANGA na SIMBA.

Baadaye yakifa yanageuka kuwa MIZIMU yanaanza kutusumbua.

Na THIS TIME ROUND ntawanyuka bakora haswa.. tandika bakora za tako hata kama ni mzimu.
 
Ndo maana kuna MAMIZIMU mengi sana yanayotokana na HAWA WAJINGA waliopo humu, wakifa wanaanza kutusumbua!!

Kwa sasa yako bize yanashabikia SIMBA na YANGA. Lakini yakifa YANAPAGAWA yanaanza kutusumbua.

Mwaka huu tutawafumua viwiko. Ukija kama MZIMU Nakubutua tako.

Lamomy njoo uone MIZIMU TARAJIWA.
Wizo kumekucha 😂😂😂
Achana nao wasije kukutoa ujauzito wako bure nikakosa ka auntie kangu kazuri
 
Nashangaa sana. Kwamba msichana anaweza kuongea na boyfriend wake katika simu,for one hour non+ stop,au two hours. Wanaongea nini?
Anyway,tulikuwa tunajadili life after death. Sasa,haya sio maoni,siyo dini yoyote,ni hali inavyokuwa.
Mtu anakufa. The body breaks down,na mtu anakufa. Anapokufa,astral body inatoka,Silver Cord,inakuwa nyembamba,halafu inakatika. Ikikatika,physical body inakuwa corpse,na astral body inaanza safari yake.
Zipo Aina tatu za watu wanaokufa. Aina ya Kwanza ni watu ambao wako katika low stage of evolution. Wengine ni intermediate,wako kati. Wengine ni evolved souls.
Wale unevolved souls wanakuwa katika hali ya shock baada ya kufa na labda watapokelewa hospitali,watapigwa "msasa" kabla ya kuelekezwa kwenda kwenye Hall of Memories.
Watu wote wanaokufa wanakwenda kwenye Hall of Memories,baada ya three earth days. Lakini duration wanayokaa humo ndani siyo specified. Katika hiyo Hall of Memories ndio watataona maisha yao waliuoishi na kama walifanikiwa katika malengo yao waliyojipangia kabla ya kwenda duniani.
Baada ya hapo,kama ni watu wa kawaida,usually,watakuwa wamefanya mambo mengine vizuri,na mengine yanahitaji marekebisho.
Wanakwenda kwenye Board(Kamati ya Washauri),washauri wa Serikali,Astral Government,ambapo wanashauriwa kurudi duniani Kama qanataka kujifunza zaidi.
Wazazi wanachaguliwa na mtu anazaliwa tena.
Kuhusu wale evolved souls,huwa wanapewa choice,kurudi duniani au kukaa kwenye astral worlds kwa muda. Hawa watu wanaweza kuishi ughaibuni for 100 years au zaidi before being born again to earth.
Hizi birth huwa zinaduata signs of the zodiac . Lazima u,aliwe:uwe Scorpio,siku ingine uwe Taurus,mpaka uzimalize sign zote.
Siyo hivyo tu. Zile zodiac signs zina quadrants,section nne. Lazima uzaliwe katika kila quadrant ya kila sign
Mambo ya quadrant labda wanajimu ndio wanayafahamu.
Lakini quadrant ya kwanza nadhani,mtu anaishi solitary life
Quadrant ya pili,mtu anakuwa artist au inventor
Quadrant ya tatu,mtu anafanya great things,lakini kwa kushirikiana na mtu mwingine,kama Marx and Engels
Quadrant ya nne,mtu anaishi extrovert,social life .
Halafu unafika wakati ambspo umeshajifunza kila kitu,huhitaji kuzaliwa tena duniani. Hapo unakufa na unaingia kwenye pari- Nirvana.
Kama Mkristu atakufa ataziona Pearly Gates na malaika wenye mabawa,au kama Mwislamu ataona seventy virgins come to greet him,hizi ni illusions ambazo zitaondoka baada ya muda. Wanawake sabini hawapendi kuolewa na mwanaume mmoja.
tatizo la hivi vitu everybody comes up with their own version... hii ndo naiskia leo

ni sawa lakini, binadamu tuko vizuri kwenye kujipa matumaini
 
Mambo ya Imani HAYO... Inaweza ikawa kweli au SI kweli. Binadamu mambo Yao yote yasiyo na majibu wanayapeleka kwenye Imani. Iweje Ng'ombe ambaye ana damu (yenye cell kama yako) akifa asiende Mahalia ila wewe uende?!!!!!
Jambo kuwa la imani halimaanishi hakuna uhakika, halafu kuhusu swali lako ni simple logic tu kwahyo wewe unaamini ng'ombe wanaweza kuoa kuolewa, kutenda mema na mabaya?!.

Wanadamu wamelazimishwa kutenda matendo na watalipwa juu ya matendo hayo, wema kwa wema na ubaya kwa ubaya na hili ni uhakika kabisa litatokea, kama ambavyo tuliahidiwa tutakufa na kwa uhakika kabisa unashuhudia kwa macho yako kuwa hakuna anayekwepa kifo.

Ukiyajua hayo tambua kifo kinakuwinda kwa kasi mkuu, na maisha ya kaburini ni magumu sana kama hukujiandaa.
 
Back
Top Bottom