Ni wakati wa kubadili mfumo wa elimu, ikiwezekana siku za kwenda shule ziwe nne badala ya tano kwa wiki.
Ijumaa iwe ni siku ya michezo tu, pia masomo yawe kwa njia ya vitendo zaidi badala ya rote learning ambayo inadumaza watoto.
Mi nadhani hii inasababishwa na umasikini wa pesa, kila mtu anaingia kwenye siasa ili anufaike. Ndio maana inakuwa rahisi kununuliwa.
Pia utambue nchi zetu rais ana mamlaka kubwa na kumshauri sio jambo jepesi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.