Usiyoyajua kuhusu ubongo

Usiyoyajua kuhusu ubongo

Humans and animals don't possess the similar brain. Usiseme hivyo utachekwa. Usiangalie core functions ukasema ubongo za binadamu na mnyama ni sawa.

Binadamu tu kwa binadamu hawana ubongo sawa sembuse binadamu na mnyama. The moment umejifunza jambo jipya ubongo una badilika shape, inaweza kuwa a slice change lakini ndo ushabadilika into a new shape.

Ubongo wa mnyama una olfactory bulb kushinda ya binadamu. Unajua kazi ya olfactory bulb? Unazijua olfactory nerve?

Kuna baadhi ya wanyama mfano nguruwe, ubongo wake unaweza ku'detect na kutafsiri nguvu ya sumaku. Na hio humsaidia katika shughuli zake sitosema hapa ni nyingi mno.

Unazijua glia? Unazijua Neurogenesis? Oya usirudie tena hio kauli yako kwa mtu mwengine. Labda ubongo wako wewe ndo upo sawa na wa mnyama, lakini sio sisi binadamu wengine.

Unajua kwanini binadamu ana mchunga ng'ombe na sio ng'ombe ana mchunga binadamu? Utasema ng'ombe hawana akili. Akili inakaa au inatengenezwa kwenye ubongo. Sasa kama wewe na ng'ombe wote mna ubongo kwanini yeye hana hio akili wewe unayo?

Nimemaliza
ila kuna ngombe kule makete zinawachunga wakinga
 
1. Ubongo umeundwa na mafuta. Asilimia 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta yaani ubongo ni moja ya fat organ. Fatty acid iliyomo ndani ya ubongo ni msaada mkubwa katika afya ya ubongo kwa kuhakikisha ina busti virutubisho kwa jili ya ukuaji mzuri.

2. Ubongo ukamilisha ukuaji au kujiunda kwa miaka 25. Unaanza kukua kutoka nyuma kwenda mbele kwahiyo ile sehemu ya mbele ya ubongo inayo husika na maswala ya kujieleza yani reasoning na planing ukua taratibu. Ukuaji wa ubongo ni kwa maana ya kukomaa au ukomavu.

3. Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba, uwezo wa ubongo wa binadamu kuifadhi kumbukumbu hauna kikomo. Ubongo wa binadamu una nyuroni zaidi ya quadrillion moja (Trillioni 1000). Nyuroni moja huungana na nyuroni nyengine hivyo kuongeza uwezo wa kuifadhi kumbukumbu. Kumbuka: baadhi ya magonjwa huathiri moja kwa moja uwezo wa ubongo kutunza kumbukumbu; mfano:- ALZHEIMER'S

4. Ubongo wa binadamu unasafirisha taarifa kwa spidi ya mita 119.8 kwa sekunde. Msisimko wa nyuroni huzalisha umeme, umeme huo husafiri seli hadi seli. Ili kupima hii spidi Chukua huu mfano:-

unapoitwa jina "John njoo" mawimbi ya sauti hupokelewa kwanza masikioni mwako, sehemu ya nje ya sikio hio imekaa kama dishi inaitwa "pinna". Mawimbi hayo yatazungushwa hapo zaidi ya mara 20 ndio yaingizwe ndani, yatasafari mpaka kwenye ngoma ya sikio (ear drum) hio ngoma itakuwa stimulated na itatengeneza kitu mfano wa mtetemo. Mtetemo huo utapelekwa hadi kwenye ubongo kupitia nyuroni. Ubongo utatafsiri na kutoa maamuzi.

Yaani utajua john ni jina lako hivyo umeitwa, licha ya kuitwa umeambiwa njoo yaani uende, utamjua aliyekuita tena utamjua kwa majina na nafasi aliyonayo kwako kama ni baba au mama au nani. Utamjua aliyekuita yupo wapi kutokea ulipo

maamuzi yanaweza kuwa kwanza unapaswa uitike, hivyo utaitika "naam" au "abee" kutoka umezoea kumuitikiaje huyo mtu. Maamuzi mengine ni Uende au usiende na kama uende kwanini uende, kama usiende kwanini usiende. Yote haya na mengine mengi yanafanyika kabla hata ya sekunde kuisha

UBONGO WA BINADAMU UNA MAMBO MENGI NA UNAWEZA KUFANYA VITU VINGI VYA AJABU. MACHACHE YANAFAHAMIKA NA YAMEGUNDULIKA, MENGI HAYAFAMIKI NA HAYAJAGUNDULIKA

Ngoja nikuache na hii:-
JE WAJUA ubongo ndio kiungo pekee katika mwili wa binadamu kilichojipa jina lenyewe. Yaani mkono unaitwa mkono kwasababu ubongo uliamua huo mkono uitwe hivyo mkono. Lakini ubongo kuitwa ubongo, ni ubongo wenyewe uliamua kuwa aitwe ubongo.
Ninachofahamu ni kwamba Ubongo ni "Urojo fulani" au ni kitu kama tope hv ulio ndani ya fuvu la kichwa cha kiumbe chochote e.g. ng'ombe, binadamu, panzi, nyoka etc etc etc kilichosheheni mishipa na vijishipa vingi vya Fahamu(nerve cells). Sasa ubongo unafanyaje kazi ; hiyo ni issue ya mazoezi - kuufanyisha mazoezi huo ubongo hadi uwe kama unavyotaka. Ni lazima awepo "aliyetangulia" kuerevuka na huyo ndo ataushape ubongo mchanga/mpya e.g. Ubongo wa mtoto mdogo unasemwa ni"Mtupu" Tabula rasa. Wewe baba au mama na Jamii yote kwa ujumla ndo mnaoufanya uwe na hulka fulani.yan mtoto huyo ubongo wake unalelewa mithili ya memory card. i.e.Unaweka/Mnaweka nini humo kwenye memory card? Wahenga walisema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Huo msemo unakitu kikubwa cha kujifunza. Kuna utofauti kati ubongo wa mtu mmoja na ubongo wa mtu mwingine. Hoja ya wepesi wa kupokea. Swali : Je, ubongo (cf memory card) ukiingia virusi (corrupted) itakuwaje?😀😀
 
Kinachonishangaza ni Ubongo kukumbuka kwamba umesahau kitu lakini unashindwa kukumbuka ni kitu gani ulichosahau......
 
Ubongo unamambo ya ajabu utakuwa Kuna programs zilipataga mushkeri ukitaka kujua hayo jifatilie hata wewe Kuna Mambo ya ajabu unayafanya mpk ubongo wako mwenyewe unashangaa..
 
Asante kwa kuongelea ubongo kama hardware sasa operation system ya ubongo ndo kiboko.

Watalaamu wanasema operation system ina codiwa ubongoni tokea kichanga hadi miaka nane. Hapo tabia zote zinakuwa tayari zimeshasetiwa. Hii master programu inacodiwa kutokana na mazingira yanayomzunguka mtoto, watu wanaishije, wanaongeaje, wanavaaje, nk

Ule msemo waswahili wanasema samaki mkunje angali mdogo haupo sawa, kwani endapo mzazi atakuwa mkali kupitiliza akiamini ndio anaandika programu ya utiifu na adabu atakuja shangaa mtoto anakuwa tofauti kwani kwa kufanya hivyo mtoto anaweza andika programu ya kutokujiamini, kuwa na wasi wasi.
 
1. Ubongo umeundwa na mafuta. Asilimia 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta yaani ubongo ni moja ya fat organ. Fatty acid iliyomo ndani ya ubongo ni msaada mkubwa katika afya ya ubongo kwa kuhakikisha ina busti virutubisho kwa jili ya ukuaji mzuri.

2. Ubongo ukamilisha ukuaji au kujiunda kwa miaka 25. Unaanza kukua kutoka nyuma kwenda mbele kwahiyo ile sehemu ya mbele ya ubongo inayo husika na maswala ya kujieleza yani reasoning na planing ukua taratibu. Ukuaji wa ubongo ni kwa maana ya kukomaa au ukomavu.

3. Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba, uwezo wa ubongo wa binadamu kuifadhi kumbukumbu hauna kikomo. Ubongo wa binadamu una nyuroni zaidi ya quadrillion moja (Trillioni 1000). Nyuroni moja huungana na nyuroni nyengine hivyo kuongeza uwezo wa kuifadhi kumbukumbu. Kumbuka: baadhi ya magonjwa huathiri moja kwa moja uwezo wa ubongo kutunza kumbukumbu; mfano:- ALZHEIMER'S

4. Ubongo wa binadamu unasafirisha taarifa kwa spidi ya mita 119.8 kwa sekunde. Msisimko wa nyuroni huzalisha umeme, umeme huo husafiri seli hadi seli. Ili kupima hii spidi Chukua huu mfano:-

unapoitwa jina "John njoo" mawimbi ya sauti hupokelewa kwanza masikioni mwako, sehemu ya nje ya sikio hio imekaa kama dishi inaitwa "pinna". Mawimbi hayo yatazungushwa hapo zaidi ya mara 20 ndio yaingizwe ndani, yatasafari mpaka kwenye ngoma ya sikio (ear drum) hio ngoma itakuwa stimulated na itatengeneza kitu mfano wa mtetemo. Mtetemo huo utapelekwa hadi kwenye ubongo kupitia nyuroni. Ubongo utatafsiri na kutoa maamuzi.

Yaani utajua john ni jina lako hivyo umeitwa, licha ya kuitwa umeambiwa njoo yaani uende, utamjua aliyekuita tena utamjua kwa majina na nafasi aliyonayo kwako kama ni baba au mama au nani. Utamjua aliyekuita yupo wapi kutokea ulipo

maamuzi yanaweza kuwa kwanza unapaswa uitike, hivyo utaitika "naam" au "abee" kutoka umezoea kumuitikiaje huyo mtu. Maamuzi mengine ni Uende au usiende na kama uende kwanini uende, kama usiende kwanini usiende. Yote haya na mengine mengi yanafanyika kabla hata ya sekunde kuisha

UBONGO WA BINADAMU UNA MAMBO MENGI NA UNAWEZA KUFANYA VITU VINGI VYA AJABU. MACHACHE YANAFAHAMIKA NA YAMEGUNDULIKA, MENGI HAYAFAMIKI NA HAYAJAGUNDULIKA

Ngoja nikuache na hii:-
JE WAJUA ubongo ndio kiungo pekee katika mwili wa binadamu kilichojipa jina lenyewe. Yaani mkono unaitwa mkono kwasababu ubongo uliamua huo mkono uitwe hivyo mkono. Lakini ubongo kuitwa ubongo, ni ubongo wenyewe uliamua kuwa aitwe ubongo.
😲😲😲 Aiseeh🙏🙏🙏🙏
 
Kama ndani ya ubongo taarifa zinasafiri mithili ya umeme,kwa wale tulosoma physics kidogo basi ndani ya ubongo patakuwa na circuit ya umeme na ndani ya circuit kuna parallel circuit na series circuit ambapo zinatoa mwanga(elimu)
 
Back
Top Bottom