Recent content by Felice1

  1. Felice1

    JamiiForums Tanzania Ni nani analitambulisha taifa kwa kasi zaidi kati ya Samatta, Alikiba na Diamond

    Wote wanatangaza nchi, kila mmoja kwa uwanja wake. ESPIRIT DE CORPS
  2. Felice1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wangu wa R&B burudikeni kwa hizi track

    Asante mkuu
  3. Felice1

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya Chifu Mkwawa (Sehemu ya kwanza)

    Sehemu ya pili mbona haiji
  4. Felice1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari:kuscreenshot HCT DESIRE 816G

    Shikilia kitufe cha volume pamoja na kile cha kuwashia simu kwa sekunde 3 mkuu. Kumbuka kuishikilia vyote kwa wakati mmoja
  5. Felice1

    JamiiForums Tanzania Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

    Laha
  6. Felice1

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Daah kitenge nimekubali kwa kweli
  7. Felice1

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzungumza mbele ya watu

    Haha, nina mchumba sema ni muongeaji kuliko mimi
  8. Felice1

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzungumza mbele ya watu

    Ujue mkuu nikiongea mbele ya watu dk 2nyingi nakua kama najishtukia hivi then kigugumizi.
  9. Felice1

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzungumza mbele ya watu

    Asante mkuu nafanyia kazi hili pia
  10. Felice1

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzungumza mbele ya watu

    Hapana mkuu sivuti bora niwe bubu
  11. Felice1

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzungumza mbele ya watu

    Asante mkuu
  12. Felice1

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Hapana siwakatishi tamaa, ila kama ni binti oooh hii ni ajira safi sana kwa mama ila kwa mwanaume, ooh nooo, sorry lakini. Sipendi kuishi kimaskini
  13. Felice1

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Kazi nafanya nikiangalia mtu kakaa kazini miaka 16 nyumba yake haijakamilika, haaaa jaman
  14. Felice1

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Hapana mwalim
Back
Top Bottom