Huo ni udaku asilimia 100%. Kumbe already you have the said CV mpaka umeona hafai, basi kwa nini unatumia jukwaa hili kuitafuta? Unamfanyia vetting wewe ndio mwajiri wake? Nahisi una lako jambo. Kama unadhani umbea unalipa endelea na pia utafute jukwaa lingine na sio hapa. Useless guy !!
:focus:
Yupo baba mwingine Ilala alikuwa anatembea na binti yake, kila binti apandapo kwenye gari baba anamuwekea mkono kama vile anashika gear lever lakini ni kwamba mkono uko kwenye paja la binti. Siku msichana alipokuwa anaolewa majirani wanashangilia na kuimba "achia ngazi baba mchuma unaondoka...
Ulikuwa unatangaza kwamba uko freee kwa yeyote, umemzalilisha sana mwenzio. Ila kazana kumtafuta umbembeleze maana hasira ya mapenzi humalizika kwa mapenzi. She loves you thats why she got mad. Mwee Mchague ya kusema wanaume mmezidi. Kwanza huyo jirani uliyempa lift wakati uko na mpenzi wako...
Nilidhani ushauri aliopewa mfilipino ungeweza kujibu maswali ya kila mmoja wetu la sivyo tutamchosha bwana mikatabafeki:eyebrows: Otherwise " tulikumwe"
Mhhhhh. mi sisemi hata wanaume pia wana save namba sa videmu vyao like plumber, electrician, mechanic nk. Mimi narudia tena kwamba msishambulie wanawake tu tena nyie wanaume ndio worse:eyebrows:
You are right Calinista. Sijasoma hapa hata comment moja inayomhusu mke wa huyo boss ambaye naye pia kazulumiwa, naona kama vile boss ana right ya kufanya mapenzi nje ya ndoa. Mhusika nakuomba Msamehe mkeo muendelee na maisha yenu, kama ambavyo yeye angekusamehe kama angesikia una nyumba...
Kwa kweli hili limeniacha hoi. Ila nadhani hapakuwa na haja ya kumpiga yule mwanamke maana hakupenda kutenda tendo hilo na mpaka akasikika akisema "linda heshima ya mkeo" nadhani hapo aliyepaswa kuadhibiwa ni huyo mwanaume. Anyway jambo la muhimu hapo ni kwamba mmesameheana na kuanza upya, ila...
Nyumba ndogo nadhani zinasaidia coz kuna some wives who dont have time for their husbands. Mume akirudi nyumbani akishamtengea chakula anamuacha mezani anakwenda kuangalia tv au kujizungusha mpaka mume anachoka anashikwa na usingizi analala hapati mtu wa kumbembeleza na kumpa mapenzi, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.