Wadau nani ana CV ya Director General wa TANAPA Mr.Allan Kijazi

Status
Not open for further replies.
BSC - Project Planning UDSM
MSC - Natural Resources and Conservation Management - Norway

KAZI
Planning Manager - Ngorongoro Conservation
Project Manager - AWF
Director project planning and tourism services - TANAPA
Director General - TANAPA
 
wewe kijana hapa ni kwa ajili ya great thinkers,,,,sasa hiyo CV ya mheshmiwa we ukiipata itakusaudiaje? mana nna waswas na uhitaji wako. kama huto jali toa sababu za kuitaka then mi ntakusaidia namna ya kuipata
 
Unataka kumuajiri? Ukisikia umbea na kukosa kazi ndio huko. Hebu tafuta mada na wewe uchangie sio kukalia majungu kama Nape Nnauye
 
BSC - Project Planning UDSM

Mkuu kwa umri wake,sidhani kama kulikua na hiyo kozi.

Pia Kijazi shahada yake ya kwanza ni mambo ya Geography (miaka hiyo UD ilikua inaitwa Land survey and planning or something like that).

Nasema hivyo kwa sababu,Kijazi kua DG wa TANAPA amevunja mwiko ambao awali haijawahi tokea DG akawa mwenye background ya Geography perse. DGs walikua wa background za wildlife ecology and the like.
 
Nyinyi mnaongea kama ni wageni hapa Tanzania. Nani aliwaambia hapa post zinatolewa kwa kuangalia taaluma?

Zakia Meghji aliwahi kuwa waziri wa Afya, Maliasili, Fedha. Na yeye kasomea nini? Uwaziri?

Wakuu wangapi wa mikoa na wilaya wametoka kwenye kazi ya Ukurya na kufanywa wakuu wa mikoa, wamesoma nini wale? Kama wangekuwa wamesoma Community Dev. kusingekuwa na kunyang'anyana mazao kati ya wakulima na serikali.

Hii ndio Tanzania bana, siasa mpk jikoni.
 
BSC - Project Planning UDSM
MSC - Natural Resources and Conservation Management - Norway

KAZI
Planning Manager - Ngorongoro Conservation
Project Manager - AWF
Director project planning and tourism services - TANAPA
Director General - TANAPA

Umesahau MBA
 
To be honest umenisikitisha sana, kumbuka hapa kwa great thinkers ambao wanataka kupata vitu vya kujifunza na kupata habari mbalimbali ikiwa ni pamoja na ajira, wewe unasema tukupe CV ya DG wa Tanapa? Au shida yako ulitaka tucoment shits juu yako,CV ya Kijazi itakusaidia nini kama sio udaku unaokusumbua, si uende pale arusha makao makuu ya TANAPA ingia ofisini kwake mwambie akupe CV yake, unatwambia sisi kwani tumemsomesha, siku nyingine dogo andika vitu vya maana hapa JF udaku peleka Facebook, hapa ni kwa wanazuoni tu, Non sense.
 
Huo ni udaku asilimia 100%. Kumbe already you have the said CV mpaka umeona hafai, basi kwa nini unatumia jukwaa hili kuitafuta? Unamfanyia vetting wewe ndio mwajiri wake? Nahisi una lako jambo. Kama unadhani umbea unalipa endelea na pia utafute jukwaa lingine na sio hapa. Useless guy !!
:focus:
 
Wajameni, watu wanajifunza kwa namna tofauti tofauti, kutokana na hili je hamuoni wengine pia tumejua kumbe nafasi hazijali saana taaluma, Nadhani tuache kushambuliana, kama una jibu la swali husika ujibu else pita kimya kimya.

Muuliza swali ana story behind swali lake, apewe fursa atatupa kitu tusicho kijua wajameni.........
 
Mkuu kwa umri wake,sidhani kama kulikua na hiyo kozi.

Pia Kijazi shahada yake ya kwanza ni mambo ya Geography (miaka hiyo UD ilikua inaitwa Land survey and planning or something like that).

Nasema hivyo kwa sababu,Kijazi kua DG wa TANAPA amevunja mwiko ambao awali haijawahi tokea DG akawa mwenye background ya Geography perse. DGs walikua wa background za wildlife ecology and the like.

Mimi nadhani hii haina maana sana hasa kutokana na matarajio ya mleta hoja (Ninavyodhani mimi) ya kuona hana elimu sahihi. Kama hakuna ukihiyo sehemu yeyote na walakini katika utendaji, ile Masters ya natural resources and conservation management na nafasi alizowahi kufika zinafaa kwa kufanyia kazi. Kwa nafasi yake DG hatumii saaana hizo first degree mnazozihitaji nyinyi kwani mnatakiwa mzitumie na yeye awaongoze kuleta ufanisi.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom