Waliopata kazi TRA

MFILIPINO

Senior Member
Aug 19, 2010
157
11
ndugu waliopata kazi tra assistant tax officer tunatakiwa turipoti lini na wapi? maana wametuma barua bila kuonyesha report date na wapi! thanx
 
Hongera kwa kujikomboa na kupata kazi.Lakini ndugu yetu mbona unachekesha kidogo,aliyepata barua ni wewe huwezi hata kufanya mawasiliano na TRA ofisi iliyo karibu na wewe ya wilaya/mkoa au hata makao makuu ukawaulizia? au ulitaka kutujulisha mana JF kwamba umejikwamua! Any way ni ushauri wa bure kwako, ninapita tu.
 
thanx mikataba feki, samahani kwa kukukwaza mario gomez, nashukuru nimeshapata taarifa napenda kuishukuru jf kwa taarifa maana hata tangazo la kazi nililiona humu, naahidi kufanya kaz kwa juhudi na maarifa tuweze kukusanya mapato ya serikali kwa maendeleo ya nchi yetu masikini! mungu ibariki tanzania, mungu ibariki jf, pamoja tunawza.
 
mfilipino, mchakato ukoje ukishapata barua ya offer? bwana mdogo wangu ye yuko mkoa,ndo kwanza amepata barua yake leo.
please help
 
Nilidhani ushauri aliopewa mfilipino ungeweza kujibu maswali ya kila mmoja wetu la sivyo tutamchosha bwana mikatabafeki:eyebrows: Otherwise " tulikumwe"
 
Hongera Fisadi mtarajiwa MFILIPINO.

Kua makini kuna usalama wa Taifa kibao kwahyo kula rushwa kwa umakini
 
ndugu waliopata kazi tra assistant tax officer tunatakiwa turipoti lini na wapi? maana wametuma barua bila kuonyesha report date na wapi! thanx

Mmmmh! watu wengine mna matatizo, hivi ni kweli kuhusu kuripoti kazini unaulizia JF.....ukishapata barua ya kazi si unapewa taarifa zote about start date, salary, and other benefits???? Inakuwaje uje kuuliza huku JF au unabeep ukweli wa ajira hiyo kama ipo au haipo??? Na what i know hizo kazi za TRA zote deadline ya application ilikuwa tar 16/jan......sasa wewe ndugu yangu unatoa wapi hili swali lako....???? anyways we never know about how things goes on in here bongoland.....good luck if that's your wish to work for TRA!!!
 
unatakiwa kuripoti mara upatapo barua yako makao makuu ya TRA kitengo cha utawala
 
Hongera Mfilipino, ukafanye kazi sasa, sio baada ya miezi sita tayari una nyumba, usafiri wa nguvu n.k
All da best mkuu!
 
Back
Top Bottom