Recent content by fazahausi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viwanda vitano vya sukari vimesimamisha uzalishaji kupisha matengenezo na mapumziko

    Mtoa mada angalau ungefanya utafiti kidogo juu la tatizo la sukari lakin inaonyesha hujui lolote ni kama umekurupuka kutoka usingizini
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

    Duuh mkuu umenichekesha sana
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete is 2015 African Statesman of the Year

    Iko hivi,ukipendwa na kusifiwa sana na mataifa ya ulaya na Marekani ujue kwako unaharibu na kinyume chake unachowafanyia watu wako ni kizur.Tafakar na chukua hatua
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alazwa Muhimbili

    Itikadi ya kivyama isitugawe wala kutupotezea utu wetu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    Utter nonsense..jinga kabisa hyo. Wanatafuta kick kweny kushtukiza, hivi nani asiyejua mapungufu kwenye hospitali zetu za umma? Serikali ilishawahi kupeleka fungu la kutosha kweny hizo hospitali hadi leo wayashangae hayo mapungufu? Magufuli ebu piga ban hizo safari za kushtukiza kwan wew ndo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Ukitafakari madudu yaliyofanywa na watz wenzetu hasa kwenye mikataba katika sekta ya madini,yani kila ukiwaza adhabu ya kuwapa chini ya jua hili unaona ni ndogo kwao.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunga Kiwanda cha Maziwa cha familia ya Uhuru Kenyatta

    Tz tungetakiwa kuvunja rekodi ya dunia kwa kupata watalii weng sana kwani hata watu wake ni kivutio cha utalii.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunga Kiwanda cha Maziwa cha familia ya Uhuru Kenyatta

    Mpeleke mahakaman basi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Rais Magufuli, Magazeti yanaongopea jamii

    Shida sio waandishi wa magazeti peke yao, hata baadhi ya wananchi wanakuza sana mambo utadhani ni mazuzu. It is too early kumaliza maneno yote kwa muda mfupi huu tangu jamaa aingie madarakani
  10. F

    JamiiForums Tanzania Vijana walikaririshwa kwamba tatizo ni Mfumo!!!

    Sijui hata kama unaelewa maana ya mfumo
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nape: Anayofanya Mhe. Magufuli yapo kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi

    Mkuu walidandia ahadi ya Edo bila kujua hela watatoa wap
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

    Mpen muda mkuu apumue wajamen mtamtindilisha af mje kumdis humu ndan
  13. F

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    magamba mshafeli kwa kishindo..mjiandae kukwea difenda na kusimama vizimbani
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere ametukanwaje hasa?

    duuh hili ni jipu la pua kwa wazee wa kijan manake walikuwa washazoea kumtumia mwl Nyerere kupata kura vijijin.sasa ikitokea mtu kuanika mapunguf ya mwl ni kama kuwaamsha waliolala na kujua kuwa mwl alikuwa mwanadam kama wao. ni shida kwel anywayz wacha muv iendelee
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Ubelgiji kasema yeye ni shoga

    ni kwel Mungu wetu ametupa maamuzi ya kuchagua maisha tupendayo.sambamba na hilo tumepewa utashi wa kujua baya na jema.sasa kwel mtu unapopima kweny akil yako et watu wa jinsia moja waoane inaleta mantik kwel???hata kama uhuru wa kuchagua ndo mtu achague mtu wa jinsia yake????yan hata wanyama...
Back
Top Bottom