Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

Hayo matatixo yanasnzia ngaz ya wilaya hadi taifa sasa md watayasolve hayo jaman??hebu waoneeni huruma watu na matatizo yao.kumbuka kila kada ina umuhimu wake.ndio maana hata mortuary attendands wapo.
 
Hongera sana Bashe. Achana na wanafiki, watumikie wana Nzega. Mara ya mwisho kupita Nzega ilikuwa miaka ya 2002. Sijuia sasa papoje ila weweni kiongozi. Mshirikiane na Kigwangalla ili kuhakikisha wananzega wananemeeka

Nimepita huko mwezi uliopita, pamefubaa sana sio miaka ile kulipokuwa na mgodi, sasa mgodi umefungwa, nzega mjini imekuwa ka vijijini, kuna tofauti kubwa mno na miaka ya nyuma, sasa nzega imedorola kabisa
 
Wafanya ziara za "ghafla" wengi mapungufu no 7 & 8 hawayajali sana na wanategemea wapate matokeo chanya baada ya ziara.....kimsingi bandiko ni zuri kwa hayo mapungufu Ikiwezekana mapungufu toka hospitali za wilaya nyingine yanaweza kujumlishwa hapa na bandiko kuendelea kusaidia wengi kama rejeleo la matatizo ya sekta ya afya.
 
Nauliza:

Hivi mamlaka ya kuagiza na hatua baadhi zilizochukuliwa hapo na mbunge ni moja ya authority ya mbunge??
Au waziri husika?
 
OC zinazokuja hospotali zinapelekwa kufadhili vikao vya ccm aafu leo wanataka aulizwe dmo.
haya mambo ya kuchonganisha watumishi na wananchi yatawatokea puani.
dmo hujamuuliza hata kama hizo hela alipewa unaanza kubwabwaja tunamfanyia uchunguzi.
pamoja na kuambiwa kuwa nchi ilikuwa inaendeshwa kw a bajeti hewa hawaelewitu??
 
Lema na wenzake wanatakiwa kuiga mfano wa Bashe hizi ndiyo kazi za mbunge siyo kuandaa maandamano na matamko kila mwezi.
 
Hivi huyu mbuge ana ushahidi katika tuhuma zake dhidi ya Mganga mkuu? Tuhuma zisizokuwa na ushahidi lakini zenye nia ya kumdhalilisha mtumishi inabidi zipelekwe mahakamani , na ikidhihirika ni tuhuma za uongo mtoa tuhuma awajibike kisheria, maana watumishi wengi wako hatarini kutuhumiwa na kudhalilishwa na wanasiasa Kwa malengo yao binafisi wanasiasa
 
Hayo matatixo yanasnzia ngaz ya wilaya hadi taifa sasa md watayasolve hayo jaman??hebu waoneeni huruma watu na matatizo yao.kumbuka kila kada ina umuhimu wake.ndio maana hata mortuary attendands wapo.


Ninakuunga mkono kamanda! Huwezi kutatua matatizo ya Taifa kwa kuangalia serikali kuu tu peke yake lazima ufanisi na usimamizi bora uanzie ngazi za chini kabisa.
 
Hivi hizi hospitali za wilaya huwa Kuna MDs kweli au COs na AMOs tu?


Comrade Ndagla
COs na AMOs - wilaya na MD - mkoani ila hiyo ilikuwa ni practice ya zamani.

Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alianzisha vyuo vya Clinical Officers na RMAs (Regional Medical Assistants Colleges) ili kumeet demand ya uharaka wa huduma za afya vijijini na mijini na kubabiliana na uhaba wa madaktari.

Lakini siku hizi vyuo vya Medicine vipo vingi nchini hivyo AMOs na COs hukosa soko japokuwa wao ndio wana uzoefu mkubwa wa kazi za kitabibu. Shida yao elimu waliyopata ni ya kizamani sana.
 
Comrade NdaglaCOs na AMOs - wilaya na MD - mkoani ila hiyo ilikuwa ni practice ya zamani.Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alianzisha vyuo vya Clinical Officers na RMAs (Regional Medical Assistants Colleges) ili kumeet demand ya uharaka wa huduma za afya vijijini na mijini na kubabiliana na uhaba wa madaktari.Lakini siku hizi vyuo vya Medicine vipo vingi nchini hivyo AMOs na COs hukosa soko japokuwa wao ndio wana uzoefu mkubwa wa kazi za kitabibu. Shida yao elimu waliyopata ni ya kizamani sana.
Shukrani kwa ufafanuzi Kiongozi.
 
Hii sasa sifa! Mi sioni jipu hapo zaidi ya vichunusi tu. Matatizo kama hayo yapo katika hospitali zote za wilaya hivyo siioni mantiki ya kuanza kutunishiana misuli na kufukuzana kusiko na sababu ikiwa hata hospitali kuu ya Taifa ilikuwa na mapungufu lukuki na yalishindwa kutatuliwa. Sasa mnamhamisha DMO wa watu badala ya kuboresha huduma je huko aendako atakuta kila kitu kipo sawa?
 
Utter nonsense..jinga kabisa hyo. Wanatafuta kick kweny kushtukiza, hivi nani asiyejua mapungufu kwenye hospitali zetu za umma? Serikali ilishawahi kupeleka fungu la kutosha kweny hizo hospitali hadi leo wayashangae hayo mapungufu? Magufuli ebu piga ban hizo safari za kushtukiza kwan wew ndo muasisi wake na wafuasi wako wanatumia vibaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom