Recent content by Favoured one

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nina kinyongo muda mrefu sana moyoni, natamani kukitoa lakini sijui nifanyeje

    Nimependa ulivyochanganya lugha,imekuwa tamu,jitahidi umsamehe,ukiwa kwenye maombi tamka msamaha kwake,mf mimi pendomamtefu nakusamehe sister mary kwa yote uliyonikosea,ukifanya hivyo kwa muda nafsi yako itamwachia nawe utakuwa huru( speak it loudly,announce the forgiveness, let your ears hear it)
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sauti za marehemu zaanza kusikilizwa

    Habari za Yesu tunazipata kwenye maandiko tuu,yeye alifufuka na hakuna tunapoweza kupata mifupa au mabaki yake.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bora nikate tamaa ili niwe salama

    I like what you have written!!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kusaidia jamii inayokuzunguka

    Deceiver! You are deceiving !!hahahaha
  5. F

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kikitokea hapa nchini utafurahi na kurukaruka kama zuzu

    Yaani hiyo point ya pili imenisababishia kicheko!!!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Leo nimepatikana ushamba ni kitu kibaya sana ndugu zanguni

    Yaani hata mimi,nimesoma baadae ikabidi niangalie uzi wa nani,hahaha,kiduku !!!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mtori una asili ya wapi?

    Asante mkuuu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Daaa,hongera sana yaani nimekuwa very emotional wakati nasoma hili bandiko,utafikiri ni mimi,hongera mkuu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mtori una asili ya wapi?

    Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ni psychological problem au nature au ni kawaida? Msaada jamani

    Kwel mkuu hii inaweza kuwa sababu au km alishakaa na mwajiri mkali sana au akiwa mdogo alikaa na wenzake ambao hawakumpa nafasi ya kuongea labda kwa sababu ya udogo wake,hivyo hana ujasiri
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anauliza; Kama dunia iliumbwa bila masaa (time zone), je punda na kuku nani kawafundisha kusoma majira hadi wawike?

    Akuache uwahi kazini,umemtoka dogo kidizain,ngoja tusubirie wajuao hili swala waje
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

    Biblia,inayoweza kubadilisha maisha na mtazamo mzima wa maisha
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipi kimebadilisha maisha yako?

    Sure
Back
Top Bottom