Naomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27.
Nina shida moja kama siyo tatizo ambalo linanisumbua sana na ningependa kama kuna uwezekano niachane nalo kabisa japo nimejarb lakini nimeshindwa kwa mimi kama Mimi..
Nimekua na woga sana kama siyo hofu kiasi kwamba mbele za watu hasa ambao sijazoeana nao kwa mda mrefu..kwa mfano nimeajiriwa katika taasisi fulani yapata miezi mitatu tangu niajiriwe, lakini shida inakuja kama wenzangu wakiwa wanapiga story naogopa hata kuchangia.
Kwenye vikao vya ofisini ndio kabisa siwezi hata sema neno...hii imenisababishia mpaka najiona siwezi chochote....na nimekua mtu wa kukubali kila hoja itolewayo...yaani kama tunazungumzia kitu flani na watu wanachangia maada akiongea mtu yeyote Mimi hua naona yuko sahihi hata kama wenzangu watapinga..
Na akitokea mwingine akapinga yule wa mwanzo pia ninamuona tena huyu yuko sahihi...kiufupi nimekua cyo mtu wa msimamo..
Hali hii inanifanya hata hapa nilipo nishindwe kutembea nje..nimekua mtu wa ndani mda wote....
Ila cha kushangaza nataman sana kuwa msemaji mkuu kwa kila jambo tatizo nakua mzito kwa kila kitu..
Pia kingine kinachonishangaza kama mtu nimemzoea sana hua nakua huru kwa kila kitu..kwa mfano mwanamke wangu wangu hua nafanya vitu mpaka hunishangaa..husema "hivi huyu ndio ww kweli"..
Sasa wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada kipi nifanye ili niweze ondokana na hii hofu maana nahisi inani athiri kisaikorojia.
Hii ni social anxiety disorder, na kwa stage hiyo hakuna kitu kimoja kimoja kitakachokutibu ikaisha kabsa, lazmà u combine vtu vifuatavyo, na uvifanye consistently
1: lazima upate dawa, Antidepressants hizi ni muhimu kuliko kila kitu kwenye hii list.
The best zinazokua recommended ni fluoxetine ( prozac),sertraline (zoloft), escitalopram (lexapro).
Mimi nilitumia escitalopram,iliniondea tatz la hofu mbele za watu, hasa kwa madem , mwaka mmoja baadae mkuu nilitombana hadi nikaogopa , ivi ni mimi uyu natongoza leo kesho natombana, loh! Nilivoingia form six nikawa na headboy, sikuwai kujua nilikua na uwezo wa kuongoza watu.
2: Cognitive behavioural therapy, hii kupata hospital inapofanyika huwa ni ngum kidg , labda upate psychiatrist anayeifanya yy kama yy.
3.Food & nutrition epuka ma vyakula ya viwandani yenye ma sukari na chemical yanaongeza risk ya kudevelop hizi disorder, na kwa ambaye tayar ana disorder yana worsen situation yake.
4. Mazoezi. Mkuu piga tizi ,piga tizi ,ukitoka kazn kila jion kimbia huku na kule , ma pushup ma nn, of course sio lazm yawe mazoezi ya kutiiisha , ila somehow ufanye moyo wako uheme .
NB: uwe mvumilivu tatz haliishi ghafla tu, linapungua tartbu ukizingatia, hizo dawa hapo kwenye namba moja ukizitumia ndani ya miezi mitatu mfululizo nakuhakikishia ww ndo utakua unaendesha vikao kazini, utakuwa mcheshi na mwenye marafk kibao,na pengine unaweza kupanda cheo kuwa hata boss! Kwann? Watu wenye anxiety mara nyingi IQ zenu huwa ni kubwa sana , naamini hata ww utakua ni intelligent mno! Labda niulize tu mkuu, una elimu gan? Unafanya kazi gani?