Favoured one
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 142
- 78
Deceiver! You are deceiving !!hahahahaMwaka jana kipindi kama hiki cha kukaribia xmas kuna mdada alinitumi elfu kumi. Kabla ya mwaka mpya akapata mchumba. Kuna trafik police alinitumia elfu hamsini. Kabla ya mwaka mpya akapandishwa cheo. Kuna mwana CCM alinitumia laki, juzi kashinda bila kushindana. Kuna konda alinirudishia chenji badala ya mia sita kanipa elfu tisa mia sita sasa hivi ni dereva na leseni juu.
Sikuambii unitumie pesa ila ukiangalia huo mtiririko huhitaji kuambiwa ona.