AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,048
- 3,567
Kumbe Tanzania ni mkoa.Tanzania....
Nilikuwa sijui hilo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Tanzania ni mkoa.Tanzania....
Mtori kimekuwa chakula cha kibongo...ukienda mbeya unakikuta, dodoma kipo dar ndio balaa mwanza usiseme...
Habarini wakuu
Hivi hiki kinywaji kina asili ya mkoa gani?
Anaulizia ndevu kwa Osama Huyo hajui kwamba mtori umeanzia Marangu.
Na cd4 kupanda kwa kasi sanaMtori ukipikwa vizuri ukinywa ndani ya mwezi mmoja kitambi kinakuja bila shida.....
Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje?Mtori uchagani
Ng'ande uchagani
Mtori ni ng'ande iliyochangamka
Eeeeeeee ,ikizubaa inaitwaje?
Asante mkuuuIkizubaa tunaitia choroko au maharage tunaibatiza jina la shiro