Recent content by faustine shija

  1. F

    JamiiForums Tanzania Harmorapa Fans' Special Thread...

    acheni matusi kwani alivyokuumba mungu unajua? au ndo mnalala mlango wazi kwa ajili ya mafanikio ya huyu kijana. Haipendezi kabisa badilikeni
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natabiri kususwa, kutengwa kwa Magufuli na kudidimia kabisa kisiasa ifikapo 2020

    nahisi wajukuu azangu mmnaota ndoto za mchana huyu MAGU haijapata tokea kiongozi kama huyu ninamkubali na ninazhangaa kwa watu kukesha mnamuombea mabaya tunawajua mliokuwa mnategemea za upambe sasa wapambe wenu wengine leo wamenyonyolewa dodoma yaani hapa kazi tu MUNGU MBARIKI RAIS MAGUFULI...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Klabu bingwa ya Aafrica: Yanga vs Zanako

    huenda akamkaria mnyama ambaye kafika nane bora kilabu bingwa africa kacheza fainali kombe la CAF kamvua ubingwa EL -AHALI ni timu pekee inayoogopeka africa inayotoka africa mashariki
  4. F

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Said Ndemla

    happy birthday kijana wa msimbazi ilifaa iwe siku ile ulifaa iwe siku ile ulipomkaribisha lwandamila bongo yaani niliiona mubashara shughuli yako we dogo Mungu anakuon nakuomba umtafute samatta huyo ndo wakiwango chako
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Masaa 24 yajayo Vigogo wengine watatu kung'oka CCM

    vita vya panzi.........
  6. F

    JamiiForums Tanzania Simba Kwishney

    safari hii hakuna kubebwa na magoli ya netball mnyama ni mbele kwa mbele refa yeyote akitoa kadi nyekundu maana yake anaitabiria simba hivyo wanaume hatuogopagi kadi kwa mnyama ni kiki
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli nakushauri ujiuzulu, watanzania msinichukulie vibaya

    jamani huu ndo muda wa ukombozi na dalili ndo hizi wale waliofikiri kuiteketeza kabisa hii nchi kama akina membe,kina makamba na wengine kwa ajili ya kumzuia nywele nyeupe bila zababu walijikuta wanamuuzi MUNGU na matokeo yake ndo haya: 1. Kwa mbwembwe kubwa wakamchaagua mtu ambaye mungu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania ''Tema mate tumchape'' Yanga, Jumamosi 25 February 2017

    awamu ya nyerere alikuwa makini na misimamo kama awamu ya magufuli basi tutamfunga yanga kama kipindi cha nyerere 6-0
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Watu wasisambaze chuki, Kanisa Katoliki haliendeshwi kwa ruzuku ya Serikali

    ubarikiwe baba muhasham askofu mkuu cadrnali Pengo kondoo wako tunaisikia sauti yako na kuifuata MUNGU akuongoze pia Rais wangu MAGUFULI dhamana ya nchi Tanzabia iko nikononi mwako ukweli maisha ni magumu sana ila naamini MUNGU aliyewaokoa wana wa israel atatenda miujiza MUNGU IBARIKI TANZANIA...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mnyama hatua moja mbele Azam Sports Federation Cup (ASFC)

    naomba tu kama ni mwamuzi asituletee za kutumwa tff achezeshe vizuri tuwafundishe total football na siyo total netball ukweli uwe uwanjani mimi nina hasira sana yaani mpaka penalt vijana wapo MUNGU IBARIKI SIMBA SC MUNGU MBARIKI MNYAMA
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

    acheni kelele kama anahusika sheria ichulue mkondo wake pesa zake kama ni zahalali MUNGU atamnusuru na siyo binadamu wapambe na waosha magari wenzenu tumeshituka na nunachukua hatua PIA NINAWAOMBEA WOTE WALIOMSTARI WA MBELE KATIKA HILI LA MADAWA.vijana wetu wametiwa wazimu na wazee wenye uchu wa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mnyama hatua moja mbele Azam Sports Federation Cup (ASFC)

    tunamuhitaji sana huyo yebo za ndala hakika yale ya zanzibar yatajirudia trh 25 feb si hiyo hapo maana wamezoea vya kunyongwa kama comoro subiri mkutane na mnyama wa mwitu nahisi mtambumbuka na huyo msemaji wenu aliyeeenda malezi segerea kwa mdomo mchafu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Mnyama aina ya faru aliyeletwa nchini kuhifadhiwa wahusika wadai alikufa

    watu wa tz tunakawaida kuacha wazo kuu na kuanza kupoteza ukweli kwa kuanza kuhusisha ushabiki wa siasa kama waziri mkuu ameshapewa taarifa na vyombo vinavyoaminika kuwa faru yupo aliuzwa sasa waliohusika wakamatwe bila kujali ni nani
  14. F

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    mjukuuu ulishawahi kuufanya huo mtihani ukaona ulivyo au ndio zile za tz za kuongelea majukwaani usifikiri hao watoto ni upepo hakuna anayefikiri kubeti wakati wakutoa jibu sahihi acheni uzushi
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    watanzania wenzangu kwanza nampongeza rais wangu kwa maamuzi hayo kwani bila hivyo wabunge wetu na mawaziri hawawezi kutilia mkazo maswala ya afya kwani siku hizi hata magonjwa ya kawaida eti lazima uende nje wacha maumivu ya huduma mbovu ya afya
Back
Top Bottom