Ndani ya Masaa 24 yajayo Vigogo wengine watatu kung'oka CCM

Status
Not open for further replies.

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,772
7,270
Kutoka hapa Dodoma taharuki ni kubwa, mabadiliko ndani ya CCM yanakuja na kimbunga kikali ambacho hakijawahi kutokea.

Safisha safisha ndani ya chama haijaisha ila ndio kwanza imeanza kama mvua za rasharasha, ndani ya masaa 24 yajayo vigogo watatu waandamizi wa chama watatumbuliwa kutokana na sababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

Usiondoke mengi yatafutata hapa.
 
Hayo yakwao. Chadema walimtumbua slaa but itawapokea hawo watakaotumbuliwa CCM.
 
Kutoka hapa Dodoma taharuki ni kubwa, mabadiliko ndani ya CCM yanakuja na kimbunga kikali ambacho hakijawahi kutokea.

Safisha safisha ndani ya chama haijaisha ila ndio kwanza imeanza kama mvua za rasharasha, ndani ya masaa 24 yajayo vigogo watatu waandamizi wa chama watatumbuliwa kutokana na sababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

Usiondoke mengi yatafutata hapa.
Ungeisema hii kitu jana ningekuelewa,
Ila ukiisema sasa naona kama unafanya tu kuotea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom