karatasi za kupgia kura katika uchaguzi wa marudio visiwani zanzibar zinatarajia kuanza kusambazwa kesho katika maeneo mbalimbali visiwani humo.
Ehh Mwenyezi Mungu ijalie Zanzaibar ipite salama hatua hii
Aliyekuwa mgombea urais wa marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican katika uchaguzi mkuu wa Mwaka 2012 Mitt Romney amesema Donald Triumph ni tapeli anayetaka kuingia ikulu ya white house.
Romney ameonya ikiwa Republican itampitisha Mfanyabiashara huyo kuwania urais itakuwa ni sawa na kumpa...
Siku chache baada ya kuelezwa kuwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Zika huambukizwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes, madaktari nchini Marekani wamebaini kuwa ugonjwa huo pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana. Madatari wa Jimbo la Texas katika kituo cha udhibiti wa maradhi kinachojulikana...
Maofisa wanne wa Jeshi la Ulinzi nchini Zimbabwe wameshtakiwa kwa tuhuma za uhaini na kupanga njama za kumwangusha rais Robert Mugabe
Chanzo: BBC Africa
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka anayekabiliwa na kesi ya kukiuka sheria katika mchakato wa ununuzi wa magari 26 ya shirika hilo, amekana mashtaka hayo na kuitwisha mzigo Bodi ya Wakurugenzi.
Akitoa utetezi wake jana, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.