Aliyekuwa mgombea urais wa marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican katika uchaguzi mkuu wa Mwaka 2012 Mitt Romney amesema Donald Triumph ni tapeli anayetaka kuingia ikulu ya white house.
Romney ameonya ikiwa Republican itampitisha Mfanyabiashara huyo kuwania urais itakuwa ni sawa na kumpa tiketi Hillary Clinton kushinda urais wa Marekani.
Romney amesema atatoa hutuba ametoa hotuba kali alhamisi ya leo na kusema sera za Triumph ni kitisho kikubwa kwa Republican na Marekani kwa ujumla.
akijibu shutuma za Romney, Trump amesema Mitt Romney ni mtu aliyefeli na hafai kutoa ushauri wowote kuhusu uchaguzi.
Uchaguzi mkuu wa Marekani unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba.
Chanzo: BBC