F faure Member Jan 25, 2016 12 2 Feb 3, 2016 #1 Maofisa wanne wa Jeshi la Ulinzi nchini Zimbabwe wameshtakiwa kwa tuhuma za uhaini na kupanga njama za kumwangusha rais Robert Mugabe Chanzo: BBC Africa
Maofisa wanne wa Jeshi la Ulinzi nchini Zimbabwe wameshtakiwa kwa tuhuma za uhaini na kupanga njama za kumwangusha rais Robert Mugabe Chanzo: BBC Africa
A Aleyn JF-Expert Member Nov 12, 2011 20,315 34,850 Feb 3, 2016 #2 Vibaraka wa wazungu hao, adhabu yao ni kifo ili iwe fundisho.