karatasi za kupgia kura katika uchaguzi wa marudio visiwani zanzibar zinatarajia kuanza kusambazwa kesho katika maeneo mbalimbali visiwani humo.
Ehh Mwenyezi Mungu ijalie Zanzaibar ipite salama hatua hii
Asante kwa kutujuza mkuu, ukawa wanatamani ungesema karatasi hizi zimekosewa,lakini nacheki hapa naona wengi wanaisoma thread yako na kupita.karatasi za kupgia kura katika uchaguzi wa marudio visiwani zanzibar zinatarajia kuanza kusambazwa kesho katika maeneo mbalimbali visiwani humo.
Ehh Mwenyezi Mungu ijalie Zanzaibar ipite salama hatua hii
Kwa mara ya mwisho nilisikia kuwa mwana-UKAWA kule visiwani, CUF hatashiriki uchaguzi huo, sasa wanahusikaje na kukosewa ama kutokosewa kwa karatasi hizo?Asante kwa kutujuza mkuu, ukawa wanatamani ungesema karatasi hizi zimekosewa,lakini nacheki hapa naona wengi wanaisoma thread yako na kupita.
Ipeleke Lumumba Na Kisiwandui!! UKAWA Wanahusika Na Nini Na Uchaguzi Huo Wa Kumhalalisha Mtu Aliyeoko Madarakani!!Asante kwa kutujuza mkuu, ukawa wanatamani ungesema karatasi hizi zimekosewa,lakini nacheki hapa naona wengi wanaisoma thread yako na kupita.