MATTAKA AISHUKIA BODI ATCL

faure

Member
Jan 25, 2016
12
2
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka anayekabiliwa na kesi ya kukiuka sheria katika mchakato wa ununuzi wa magari 26 ya shirika hilo, amekana mashtaka hayo na kuitwisha mzigo Bodi ya Wakurugenzi.

Akitoa utetezi wake jana, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu anakokabiliwa na kesi hiyo pamoja na wenzake wawili, Mattaka alidai uamuzi wa ununuzi wa magari hayo yaliyokuwa yametumika ulitolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya ATCL.

Soma zaidi:http://www.mwananchi.co.tz/…/3060090/-/13bubu8z/-/index.html
 
Back
Top Bottom