Recent content by Fatumah

  1. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ana uhusiano gani Ponda?

    Hivi kamanda Kova alisema atakuwa anatembelea hili jukwaa, kulikoni leo au ndo wikendi tena, maana hii habari inaharufu ya kilichompa ID JF
  2. F

    JamiiForums Tanzania Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

    Isikuumize kwasasa Chadema hata likiwekwa jiwe 2015 nchi ni yao
  3. F

    JamiiForums Tanzania JF Mobile Haifunguki katika simu yangu

    Tatizo limeisha lakini mimi natumia Blackberry picha hazionekani kabisa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!

    Lakini haimaaanishi ndo mrudie mara ya pili
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

    Aliyekwambia wewe ni damu ya babako ni nani? na Unamwamini?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Swala la Lwakatare: sio Mwigulu peke yake Mbona Wasira, Nape hamuwajumuishi?

    Umesahau Michuzi mzee wa software standard seven kamera mani na mpiga picha wa Ikulu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!

    Acha hizo unazifahamu nanihii za wanawake zaidi yao wenyewe? hamu unavyoipata wewe ndivyo anavyoipata mwanamke tofauti ni kwamba wanawake tumeumbwa na haiba ambayo inatusaidia kutokuonyesha madhaifu yetu kwa sana ingawa wengine vinawashinda
  8. F

    JamiiForums Tanzania Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!

    Usikurupuke kumuita mjinga ndo maana kakwambia ni mistake au huelewi maana ya bahati mbaya wewe
  9. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mdada wa kuzaa naye mtoto

    Yaani huyu hata hajui maisha ninini Mungu wangu. embu msaidieni, anyway kama shida ni mtoto anaweza akaenda kuadopt kwenye vituo wako wachanga kibao aache ununda hapa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Huna mpya kajipange uje kivingine hivi ni umelala doroooooo
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kiss on the neck...

    Huyo anakuwa mchafu tu, ili uinjoy ni vizuri ukamuandalia mwenzio mazingira ya kuinjoi pia
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kiss on the neck...

    Sanaaaaaaa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tizeba ateuliwa kugombea Udiwani kata ya LUGATA kupitia Chadema.

    Kama aalikuwa mbadhilifu ni kwa hao mabadhilifu wenzake lakini huku alipoingia lazima awe mtakatifu maana swala tano atainama tu na kujihukumu kwa matendo yake. Tumpe sapoti jamani
Back
Top Bottom