Haka katabia ka wadada kananikera sana!!!

Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake, itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", we mpumbavu nn,,,kama ulikua unajua ni mistake kwanini upanue miguu tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!

Ukiona hivyo umefanya ngono kiuzembe umemchafua tu.
 
Mkuu hilo tatizo kama unajijua itatokea siku ukataka mchezo tena unatakiwa uonyeshe maufundi kidogo siku ya kwanza,hata akitoka hapo anajuwa kuwa alikutana na wewe ukampa kazi na yeye akaifill next time ukiomba unapewa tu,hasa akikumbukia game ya mwanzo ila kama hukujituma imekula kwako hata kama mimi,demu papuchi haikuwa sawa then amekaa tu kama gogo eti Massawe atakula jeuri yake nikipiga mara moja ndio imetoka hiyo.
 
Inaonyesha bi dada alikuwa akikupa mambo ipasavyo ndio maana unataka tena na tena na tena......
Sasa shida imekuja kwako mbabe amechomoa coz ulikuwa hujishughulishi so ulikuwa humfikishi kule mahali...
Kwa style hiyo tegemea big no!
 
Ha ha ha duh! comments nyingi humu zinasisitiza kwamba sikumfikisha huyu manzi!!! jamani mm ni fundi mno kwny hayo mambo,,,
 
Umechezea bahati kijana!

Kama ungekuwa umetandika game ya ukweli huyo angekuwa ndio anakusumbua kwenye simu kila saa inaita Ngriiiii NGriiii mara peep peep msg!

Next time zikitokea hizo unapiga ya ukweli halafu unajikausha kimyaa unapotea kwanza!
 
..afu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake..
Sasa mkuu hapa ulitegemea nini? Kama hata kusema "asante" kulikushinda (achilia mbali kumpa "compliments" nyingine). That was indeed a "mistake"!

Wanaume bana sijui tupoje sa zingine!
 
hakuna siku muhimu kama siku ya kwanza unapopewa tunda, kwa kila njia jitahidi ushinde hiyo mechi, ukipoteza mechi tu, imekula kwako unless kama demu amekupenda sana, huenda ulipoteza mechi mzazi...
 
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake, itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", we mpumbavu nn,,,kama ulikua unajua ni mistake kwanini upanue miguu tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!

Kwa hiyo ulikuwa unatakaje, aendelee kukupa kila siku kama mmefunga ndoa. Kama amekufikisha funguka, ili uanze kuhudumia. Unataka vya bure!!. Unataka muende kibubu bubu alafu baadae uanze yale mambo yenu ya ajabu. Maana likisha bumbuluka huwa mnamisemo yenu 'kwani nilishawahi kukwambia nakupenda?' nyingine 'mimi sikuwa na mpango wowote na wewe ilikuwa ni starehe tu'. Kama ni starehe basi garamia. Starehe gharama!!!
 
Utakuta kuna dem umezoeana nae mkajikuta mmependana ila hakuna aliyemfungukia mwenzake, siku ikatokea mmekaa sehemu ya faragha kaka gheto mara ghafla mkajikuta mmeanza kukiss hadi kusex, afu mkimaliza hakuna anayemuongelesha mwenzake kila mmoja anasepa zake, itokee siku unataka kuomba penzi tena au umemtext "mambo mpenzi", utakuta anakujibu, "my dear it was just a mistake, haitakaa itokee tena tufanye mapenzi", we mpumbavu nn,,,kama ulikua unajua ni mistake kwanini upanue miguu tena kwa hiari bila kulazimishwa!!! Acheni hizo bwana, mnaboa!!!

Because it was the mistake and she dont want to repeat the mistake.....haha haaa...pole kaka.
 
We men should change our mind-set ... huwa tunaamini katika kukamua tu kumbe wengi sana tunakamuliwa na mademu! Tuwe wakwel mioyoni mwetu na tujiulize ... ni mara ngapi tunanasa kwenye mitego ya wanawake kirahisi?Mara nying huwa inatokea ...
So, tuamini katika kutumika kama ambavyo tunawatumia na tujidhamini ... kama ilvyo papuchi, dusheshelele nayo inahtajka vbaya sana upande wa pl ...
 
Ni kweli jamaa atakuwa hajui kuchezesha dushilele la nguvu, mtu akupanulie halafu tena aanze sitaki nataka wakati umeshachovya!!

Alitakiwa amsugue kweli kweli ili amkumbuke, mimi kawaida napo onana na mzigo mpya nacho fanya nikumfunika mmiliki wa zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom