Sina mengi ya kusema. Nikidurusu namna wafuasi wa bwana moody wapendavyo chini kiasi cha kuhalalisha ukahaba, nashindwa kutofautisha dhana mbili yaani kaaba na ukahaba kwa sababu ni kama viumeungana. Wanangu nisaidieni nitoke kizani. Ukahaba ni kuwa na wapenzi wengi wakati kaaba chimbuko lake ni...
Sioni kosa kwa vile wanajua mengi ambayo wanaojiita waislamu hawajui. Nadhani wafurahie hili badala ya kukasirika kwa sababu linawafumbua macho na kuwafundisha wasiyojua. Waungwe mkono.
Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina...
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.
Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.
Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.