Hivi Makonda Bado yupo ofisini hadi Sasa!?

Watu hawafanani,kuna wengine wana Mungu na wengine wana shetani!

Huyu ni mpakwa mafuta ya upako wa Bwana,hivyo kama unasubiria atumbuliwe,utasubiri sana!
Muulize Gambo kilichomkuta hapa karibu https://www.jamiiforums.com/threads...ozwa-na-roho-wa-mungu-mshuhudie-hapa.2333411/

Kwa taarifa yenu, hiki kilichotokea juzi kati hadi jamaa yetu yule tegemeo la 2030 akatema bungo!,ni huyu mwamba ndio aliliamsha akakomaa nae mpaka jamaa akasalimu amri!.

Pokea full dose ya maktaba yangu kumhusu huyu dogo!

Rejea za mtoa mada kuhusu Paul Makonda
  1. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
  3. Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
  4. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
  5. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
  6. Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
  7. Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
  8. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
  9. Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza
  10. Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia
  11. Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
  12. Makonda, only the truth will set you free!
  13. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
  14. Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!
  15. Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
  16. Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
Mzee Pasco
We chawa tu huna lolote na akili zako kama hips za makonda
 
Huyo Mungu wako huwa anawapaka mafuta watu WA hovyo wanao iabisha serikali na rais wanchi
 
Watu hawafanani,kuna wengine wana Mungu na wengine wana shetani!

Huyu ni mpakwa mafuta ya upako wa Bwana,hivyo kama unasubiria atumbuliwe,utasubiri sana!Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Muulize Mrisho Gambo kilichomkuta hapa Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

Kwa taarifa yenu, hiki kilichotokea juzi kati hadi jamaa yetu yule tegemeo la 2030 akatema bungo!,ni huyu mwamba ndio aliliamsha akakomaa nae mpaka jamaa akasalimu amri!.

Pokea full dose ya maktaba yangu kumhusu huyu dogo!

Rejea za mtoa mada kuhusu Paul Makonda
  1. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
  3. Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
  4. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
  5. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
  6. Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
  7. Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
  8. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
  9. Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza
  10. Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia
  11. Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
  12. Makonda, only the truth will set you free!
  13. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
  14. Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!
  15. Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
  16. Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
Mzee Pasco

Ww tunakujua mayalla= NJAA
 
Hujitambui kabisa wewe. Mwamba Paul Makonda Ni Komandoo Aliyeshinda kila vita . Hajawahi kushindwa vita yoyote ile na kama umetumwa ama unatumika kumchafua Basi hautaweza kufanikiwa .

Mwamba ni Sauti ya Wanyonge na anayependwa na watanzania kutokana na ujasiri wake na Usema kweli wake
Kuzurumu nafisi za watu (KUUWA) hajawahi kushindwa kauwa wengi Sana Ila kumbuka auwaye kwa upanga nae atakufa kwa upanga muda NI mwalimu
 
Back
Top Bottom