Recent content by fat faza

  1. F

    Usanii wa benki kuu ya Tanzania

    nchi iko vitani kaka we kumbukumbu ya miaka hamsini ya nini? njaa ujinga na maradhi au ni kumbukumbu ipi unayomaanisha? usifuate mkumbo kaka
  2. F

    Ni upuuzi kuwagawa watanzania kikanda,kikabila na kidini!

    hapo umenena mkuu... kama huna uwezo usitafute sababu ya kuficha udhaifu wako
  3. F

    Ni kweli Mh Lowasa anachochea cdm kuwa na nguvu Arusha?

    mmh hiyo ni point lakini usimbeze mtoa mada kumbuka wasiwasi ndio akili
  4. F

    William Ngeleja - Waziri Anayetuhumiwa kwa Wizi!

    mmh mi mgeni ndo kwanza nimefika
  5. F

    Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....
  6. F

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    acha kuandika pumba nenda ukachat na wenzako wa facebook....kwa hiyo unataka kusema EL NI MSAFI!!!!
  7. F

    Bomani: Gamba litapasua CCM

    kweli ndugu yangu ebu fikiria yan huyu mzee ndio tunamuita mzee wa busara yuko tayari nchi iangamie lakini GAMBA libaki!!!! beta die than living in dis dark country
  8. F

    Wassira awaonya UVCCM Arusha 'ni uhaini kuongelea urais'

    Bila shaka wewe una damu ya ufisadi haiwezekani mtu mwizi na anayekufanya ukae gizani kwa sababu ya kujali tumbo lake tuu awe ndio chaguo lako kwangu mimi kiongozi hata awe mtendaji kiasi gani lakini kama ni fisadi,msaliti na mhujumu no 1 wa uchumi wa nchi yake anastahili kufilisiwa mali zake...
  9. F

    Wassira awaonya UVCCM Arusha 'ni uhaini kuongelea urais'

    wewe nawe ndio puuumbavu kabisa yani akiri zako sijui kama zinajaa katika kijiko watu kama nyinyi wenye ubongo mgando ni janga katika taifa hili
  10. F

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  11. F

    Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

    shame on you (magamba yamekulemaza na kuugandisha ubongo wako) amka
  12. F

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    surely the best post.....yani nikifikiria mambo anayowaza na kuyafanya mtu mweusi natamani kulia sijui ni nani ameturoga
  13. F

    "CHADEMA yasubiriwa kwa hamu visiwani Pemba"

    wE NI WA WAPI MBONA UNAMAWAZO MGANDO HIVYO??? UNGEKUWA UNAHUBIRI UMASIKINI ULIONAO KAMA UNAVYOHUBIRI DINI NINGEKUONA WA MAANA NAONA DINI IMEKUKAA SANA KAWE SHEKHE AU PADRI UKAHUBIRI....JF SI SHEMU YA UDINI SHINDWA NA UTOKOMEE
  14. F

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    kwa hili la gaddafi nimeamini waafrika(hasa viongozi wetu) uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana ndio maana wazungu wanatutumia wanavyotaka na kwa mtaji huu mzungu atatutawala mpaka mwisho wa dunia hii kwa sababu sisi ni vibaraka ,hatujitambui ,hatuna maamuzi,hatuna uchungu na nchi zetu....shame...
Back
Top Bottom