Ni kweli Mh Lowasa anachochea cdm kuwa na nguvu Arusha?

Wadau, kwa habari zisizo rasmi, inasemekana Mh lowasa ndio anachochea viongozi na makada mbalimbali jijini arusha kuhamia cdm. Hili naona linaweza kutucost hapo baadae. kwani makada wa ccm siwaamini kabisa.
Nawasilisha.

Umbeya huo, Lowasa hawezi kufanya hivyo hata kidogo huo ni Uzushi.
 
hukumsikia katibu CDM golugwa.? Ngome ya CDM A town co km unavyodhan chama kipo imara na kinajiamn hakuna atakaye2yumbsha PPLZ PWER.
 
Hivi Mbowe, Dr Slaa, Prof: Safari......hawakuwahi kuwa makada wa CCM je huwaamini?

Mbona mnamsema mbowe na lowassa mimi mwenyewe ni mchadema lakini nina card ya ccm, chuo kikuu zamani ilikuwa husajiliwi bila kuonyesha kadi ya chama
 
Back
Top Bottom