Recent content by Farudume

  1. F

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Hapo umeniacha. Wanalingana kwa Mshahara,Majukumu au nini? Sijaelewa kabisa,ulinganifu huo umefata vigezo gani?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

    Tupatie vinavyohitajika,tusijekurudishwa kwa kukosa vielelezo au kiwango Fulani cha pesa na deadline ndio hii.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

    Naomba kujuzwa mahitaji ambayo ni lazima uwe nayo ili ufikie vigezo vya kubadilishiwa Passport. Kuna wanaosema lazima uwe na 150,000/=. Je, ni kweli?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani. Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa. Yaani...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

    Nashukuru kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

    Kwa kweli sina kumbukumbu ya lini nimebadilisha Brake kwa Mara ya Mwisho. Ila kwa sasa linatembea vizuri baada ya kuachia.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

    Sawa sana. Nimejaribu kwenda mbele ikatoa mlio na kuachia.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

    Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka. Nikilazimisha linaslide tu. Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa. Mwenye utaalamu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mmarekani mjanja sana, Iran wamekwama wapi?

    Iran inatakiwa itulie na kujishusha.Marekani sio taifa la mchezomchezo .
  10. F

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ufaulu mkubwa unaojirudia zichunguzwe

    Mkuu unachekeza.utengenezaji wa Toothpick unahitaji uwezeshwaji wa Mtaji.Kama huna Mtaji ni kazi bure hata kama una 1.7. Dr.Gharib Bilal na mtaalam wa Nuclear .Jiulize kwa nini hatengenezi Kombora la Nuclear au Umeme wa Nuclear?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ufaulu mkubwa unaojirudia zichunguzwe

    Vyuoni huenda wanafeli kwa sababu ya mazingira tofauti na waliyozoea. Vyuo vingi vinamazingira ya kiufundishaji kama Shule za Kata.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kuhusu kuingia Mkataba Ardhi Kimakosa.

    Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa. Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto. Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao pindi watakapofariki.Inasemekana kijana huyo amejikomiti kutoa huduma zote kwa hao wazee kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Chain of Command ndio inayotuonyesha nani mkubwa kati ya Mkuu wa Magereza na Colonel. Katika Baraza la Mawaziri Chain of command inatuonyesha Waziri yupo karibu kuliko Mkuu wa Mkoa. Katika ugh'atuaji wa Mamlaka ya Serikali,Chain of Command inatuonyesha Mkuu wa Mkoa yupo karibu na Rais ijapokuwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Kijeshi haiko hivyo. Unainama kama haupo kwenye Uniform. Kama aliinama ujue salute hiyo haikumhusu.
Back
Top Bottom