Recent content by Faru dume

  1. Faru dume

    Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

    Lakin wamekalia tatu kwao
  2. Faru dume

    Ajali katika soka zipo. Goli la Simba ni offside, ilaa mcheza kwao...

    Oscar Oscar umepuyanga Mzee...mtazame beki aliyekuwa karibu na kagere alifanya nn ?ukiona ndio utajua utofauti wa kuwa uwanjani na kuwa mshabiki.
  3. Faru dume

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Kuna rafiki yangu Ni mtumishi aliporocess mkopo unakaribia mwezi sasa hajapata mkopo.....
  4. Faru dume

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Hata wafanyakazi siku ni majanga matupu boss
  5. Faru dume

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Habari wakuu, Mimi kama mdau wa bank hii ya CRDB naomba nitoe dukuduku langu na kama yupo mfanyakazi au mtendaji wao tafadhari rekebisheni matatizo yenu, haiwezekani process ya mkopo ikachukua wiki tatu mpaka mwezi na Bado fedha/mkopo hamtoi, hivi hamjui mkopo ni kitu cha dharura? Naombeni...
  6. Faru dume

    Je GPA za NACTE na TCU ni tofauti?

    KWAHIYO UKIPEWA HYO AVN NDIO UME QUALIFY KUOMBA CHUO KIKUU?JE UKIIKOSA NDIO TIKET YA KUDIQUALIFY?MAJIBU PLIZ
  7. Faru dume

    HP Laptop 1Tb inauzwa 350000/=

    Umeshauza au bado ipo?
  8. Faru dume

    Amepotea: Jastis David Mafaru mkazi wa Lushoto-Tanga ukimuona toa Taarifa

    Asante ndugu. Alichanganyikiwa na alikuwa kwenye matibabu
  9. Faru dume

    Amepotea: Jastis David Mafaru mkazi wa Lushoto-Tanga ukimuona toa Taarifa

    Kapatika nashukuru kwa maombi yenu
  10. Faru dume

    Dada alivyojielezea kwenye tangazo jipya la tigo kwenye televisheni

    Cheki mwishoni kabisa mwanamke anakazia maarifa mwenye macho kashaelewa ......
  11. Faru dume

    Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Tuma picha tukuchagulie
Back
Top Bottom