Dada alivyojielezea kwenye tangazo jipya la tigo kwenye televisheni

Mzuri sana
Screenshot_20200615-152621_Facebook.jpg
 
Mkuu ahsante sana kuiweka hapa.
Nimetamani sana kuwa naambiwa kama huyo jamaa ingawa sina mke, mchumba, demu wala manzi. Huyo mke wake amemalizia vizuri mpaka zile nyuzi za negativity humu nazisahau.
Hio ni tamthilia za TV,hao wanawake ktk maisha ya kila siku ni mbinde kuwapata
 
Ila uyu dada jaman ile sauti mimi huwa inanitesa usiku
 

Attachments

  • 103975021_2655882911348593_2462287640532868656_n.jpg
    103975021_2655882911348593_2462287640532868656_n.jpg
    11.7 KB · Views: 1
Wakuu habari?

Kuna tangazo jipya la mtandao wa TIGO naliona wiki kadhaa sasa likimuonyesha mwanaharakati mmoja akiacha 10,000 kwa mkewe/mpenzi wake na akimuelewesha kuwa ndio kiasi alichonacho.

Jamaa anarudi magetoni anakuta mama katoa diko la bei mbayaa (ukilinganisha na 10,000 alioacha kama kodi ya meza)

Sasa kuna namna yule dada anamchanganulia yule mwanaharakati amejibana vipi kununua bundle za tigo mpaka akabaki na chenchi ndefu iliotosha kupendezesha meza.

Asee palee anapomuambia "Ndio nilivoitumiaa babaa" kwa sauti ya kudeka na kumtoa nyoka pangoni mpaka kwenye tiles mimi hoii wakuu..!!!

Link ya video ya Tangazo hilo.



Jamani wanawake muwe mnatuongelesha vile kila tukirudi kutoka vibaruani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukaenda mpigia chaputa
 
DA jamani ukipata mwanamke wa kubembeleza hivyo huwezi pta presha hata siku moja sauti hiyooooooooooooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom