Msaada ni Lodge ipi nzuri iliyopo RangiI 3 au TEMEKE mwenye kujua na namba za simu anisaidie

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Natarajia kuja Dar kikazi naombeni Msaada kwa wanaofahamu Rangi tatu au Temeke, je ni Lodge ipi nzuri yenye maji ya moto, naombeni na namba ya simu kama mtakuwa nayo.
 
Njoo Sinza, Lodge na Hotel Kama zote,achana na Mbagala.
Au nenda Blue Sapphire Nyerere Road,imetulia sana
 
Tafuta Mkululu (sina hakika kama nimepatia jina) utaenjoy pale full breakfast iko Mbagala Zakhem mita chache kutoka Rang 3
 
TAJA NA PESA ULIONAYO WATAKUTAJIA LODGE KUMBE WANAKUKANYAGIISHA MAKOMACHAFU UNA BK SABA
 
Nenda Tandika Maghorofani Kona ya Chuo cha Bandari kuna lodge nzuri sana ya Wakenya inaitwa Kilimanjaro Lodge. Ni lodge ya kisasa yenye ulinzi,parking na huduma zote nzuri,chumba cha bei ya chini ni 35,000.
 
Kuna kana lodge ipo maeneo karb na kanisa la RC, au pale kanisa la KKKT ipo nyingn....au ulizia mtaa m1 unaitwa kibendera zipo mbili mpyaaaaa....km unatak ya ghorofa njia ya kwnda kibondemaji ipo mpyaaaaa....leo naishia hapa
 
Back
Top Bottom