Je GPA za NACTE na TCU ni tofauti?

Je GPA za NACTE na TCU ni tofauti?

Hiyo GPA ndogo sana maana hiyo utasota mkuu. Huu ndo mda wa kujutia uzembe wako. Nakushauri omba Uganda au anza upya diploma
 
binafsi nimekuwa muathirika wa ongezeko la GPA kwa diploma holders wanaotaka kwenda Chuo Kikuu .Nina diploma ya clinical officer kwenye provisional transcript nina GPA ya 2.7.

Lakini kuna kitu nimegundua leo, ukijumlisha masomo yangu yote na kugawa kutafuta wastani unapata wastani wa 66,hii ni B plus ambayo ni sifa pia ya kwenda Chuo Kikuu. Pia nimegundua tofauti kwenye grades kati ya TCU na kwenye transcript, mfano kwenye transcript B plus ni 70-71 lakini TCU wao ni 65-74.

Sasa je kama nina average ya B plus maana yake si kwamba naweza kwenda Chuo Kikuu? Na je hii haimaanishi kwamba GPA yangu ya kwenye transcript na za TCU zinaweza kuwa tofauti?
Naomba kuuliza hivi kwa clinical officer
hiyo gpa ya 3.5 wanaangalia matokeo ya mwisho ya wizara ya semester ya 6 au yote tangu semester ya 1 hadi ya 6
 
Nina ndugu yangu hapa ni C.O.Anamiliki pharmacy 3 na duka 1 la dawa muhimu

Yuko vizuri kuliko most of MDs .Nashauri wekeza kwenye biashara hautojuta

Mkuu Kuwekeza Ni Vizuri Sana! Ila Tatizo Mtaji/Capita Ndiyo Kinachotusumbua.
Mimi Binafsi Ningekuwa Na Mtaji Katika Fani Yangu Niliyosomea! Basi Ningelisahau Kitu Kinachoitwa Ajira.
 
Naomba kuuliza hivi kwa clinical officer
hiyo gpa ya 3.5 wanaangalia matokeo ya mwisho ya wizara ya semester ya 6 au yote tangu semester ya 1 hadi ya 6
Wanaangalia Semister ya 5 na ya 6 average yake ndo unapata overall GPA
 
Naomba kuuliza hivi kwa clinical officer
hiyo gpa ya 3.5 wanaangalia matokeo ya mwisho ya wizara ya semester ya 6 au yote tangu semester ya 1 hadi ya 6

Mkuu Mimi Nitakujibu Kwa Limit ya Ufahamu Wangu!

Hayo Uliyoyataja Yote Inawezekana!

1) Kwanza Kuna Baadhi Vyuo (Mostly Vya Ufundi) Huwa Wanasoma Kwa Kitu Kinachoitwa NTA, Vyuo Hivi Sina Uelewa Navyo Sana, Lakini Ni Kuna Vyengine Wanasoma Diploma Miaka 2, Yaani Mwaka wa Kwanza ni NTA level 5, Na Mwaka Wa Pili ni NTA level 6.
Na Kuna Vyengine ni Mwaka Wa Kwanza Ni NTA level 4, Mwaka wa Pili NTA level 5, na Mwaka wa Tatu ni NTA level 6.
Na kila Level Ya NTA basi ina GPA yake.

Sasa Chuo Kama Hicho Cha Miaka 3 (NTA level 4, 5 & 6), unapodisco Mwaka wa 2 basi unapewa Cheti cha NTA level 5, Kwahiyo Ndiyo Maana TCU/NACTE wakaeka Sharti la Kuwa Ni Lazima Uwe Umemaliza NTA level 6 ili uwe imetimiza Miaka 3 ya Diploma.

2) Pili, Kuna Baadhi Ya Vyuo Kwamfano Nilichosoma Mimi Hakitumii Mfumo wa NTA, Kwahiyo Wao Wanatoa Diploma Miaka 3 kamili Na hata Ukidisco Mwaka Wa Mwisho (Semista ya 6) basi Hupati Cheti.
Sasa Vyuo Hivi Huwa Vinatoa Overall GPA kwa Semista zote 6 (Miaka 3) na Kukupa "Upper Second Class" na Ndiyo Matokeo Hayo Wanayokupelekea NACTE.

NOTE:
Si wewe Unayepeleka Matokeo NACTE, bali Ni Chuo Ndiyo Kinachokuingizia Matokeo Katika System Ya NACTE,
Na Wanakupelekea Yale Waliyokutilia Katika Transcript, Kwahiyo Kama Kwenye Transcript Wamekutilia Overall GPA ya 3.5, Basi Walikupelekea hiyohiyo! Na kama Kwenye Transcript Wamekutili NTA level 6 (Mwaka wa Mwisho) GPA ya 3.5, Basi Wanakupelekea Hiyohiyo.
 
Hiyo ni number yako ya utambulisho,unayopewa na nacte baada ya matokeo yako ya diploma kuhakikiwa na kuwa na sifa za kuendelea ngazi ya bachelor degree.

KWAHIYO UKIPEWA HYO AVN NDIO UME QUALIFY KUOMBA CHUO KIKUU?JE UKIIKOSA NDIO TIKET YA KUDIQUALIFY?MAJIBU PLIZ
 
Katumie yangu 4.6,aaaaa Sasa kumbe mi nimesomea dental, pole ungeitumia hiyo, ukipata nafasi Tena usome,
 
KWAHIYO UKIPEWA HYO AVN NDIO UME QUALIFY KUOMBA CHUO KIKUU?JE UKIIKOSA NDIO TIKET YA KUDIQUALIFY?MAJIBU PLIZ
AVN utaipata Ukiwa umemaliza kusoma Diploma na matokeo yako yakapelekwa na taasisi yako NACTE.
Kupata AVN sio kwamba unaqualify kudahiliwa chuo kikuu kwa shahada ya Kwanza. AVN ni namba ya utambulisho kwamba NACTE inakutambua na matokeo yako yanaweza kupatikana Moja kwa moja kwenye system ya NACTE.
Ukiwa na GPA yoyote ile utapata AVN hata kama haifiki GPA ya 3.0 ambayo ndio minimum entry qualification ya chuo kikuu kwa shahada ya Kwanza kwa mujibu wa TCU.
hivyo AVN ni takwa la waombaji wote vyuo kuwa nayo ila hiyo AVN ndani yake matokeo yaanzie GPA ya 3.0 ndio utaqualify kudahiliwa na chuo Kikuuu kwa shahada ya Kwanza.
Ikiwa chini ya hapo kuanzia GPA ya 2.0 unaweza kutumia AVN kuomba kusoma Foundation programme.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Exactly....! Bila hiyo kitu mzee baba,huendi popote.
Na hiyo AVN, ukishapewa moja ndo unaweza kutumia hiyo hiyo mwaka wowote au kila unapofanya maombi ya kujiunga chuo unalazimika kuomba AVN nyingine?
 
AVN utaipata Ukiwa umemaliza kusoma Diploma na matokeo yako yakapelekwa na taasisi yako NACTE.
Kupata AVN sio kwamba unaqualify kudahiliwa chuo kikuu kwa shahada ya Kwanza. AVN ni namba ya utambulisho kwamba NACTE inakutambua na matokeo yako yanaweza kupatikana Moja kwa moja kwenye system ya NACTE.
Ukiwa na GPA yoyote ile utapata AVN hata kama haifiki GPA ya 3.0 ambayo ndio minimum entry qualification ya chuo kikuu kwa shahada ya Kwanza kwa mujibu wa TCU.
hivyo AVN ni takwa la waombaji wote vyuo kuwa nayo ila hiyo AVN ndani yake matokeo yaanzie GPA ya 3.0 ndio utaqualify kudahiliwa na chuo Kikuuu kwa shahada ya Kwanza.
Ikiwa chini ya hapo kuanzia GPA ya 2.0 unaweza kutumia AVN kuomba kusoma Foundation programme.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Kuna chuo cha MD kinachotoa foundation? Acha kimuwekea vitu vya kufikirika mwenzio.... yy atabaki kuwa CO tu labda aanze upya shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa mfumo wa Tz kwetu ili uende chuo kikuu lazima upate angalau Gpa ya 3 but wengi huanzia tatu ________inaoneka wakufunzi wako waliamua kukubolongea mambo
 
Back
Top Bottom