Acha hizo!We uzinzi ufanyi?Yule mtoto hana hatia hata kdg ila sio mbaya kushikiliwa coz alikuwa na huyo marehemu dakika za mwisho!Vinginevyo Kanumba ashitakiwe km unaona sheria inatakiwa kufanya kazi!Wabongo kwa kushadadia ya wenzenu na yenu mmetia kwapani hamjambo!
Achana nao!Wivu tu unawasumbua!She cant do dat!Hata Diamond sio mkweli kwa kila kitu alichosema i guess!Ni kweli amebadilisha wanaume wengi kwa mda mfupi!But who is perfect kwa kila kitu?I mean dat should a weakness to her but inawezekana hajapata wa kumpenda!With dat said,plz muacheni mtoto wa...
Bila shaka una visasi tu mkuu!Haijulikani km kweli yeye ndo kamuuwa Kanumba!So dont put dat type of comment against her!Watafute kilicho muuwa jamaa sio tu kumretain huyo mtoto!Kanumba kuna kitu alikula au kunywa before he could fall down ndo maana akatoa povu mkuu!Vinginevyo tuache uchunguzi...
Siyo mahali pake man!Soma alama za maeneo bro!Tatizo lenu wafuasi wa magamba u cant even copy n paste!Hata shule zenu za kuunga km za Mwanaisha!Kaulize kwanza au kasome for ya own benefits!
Ama kweli Nape ana upungufu wa fikra!Au anajaribu kuwarubuni wenye akili finyo km zake!CCM iko madarakani takribani 50 yrz inakuwaje hayo aliyoyataja kwenye wall yake yakose kufanyika nchi nzima yafanyike arusha kisa inatawaliwa chadema?Kweli ni mjinga samahani kwa kusema hivi!Kifupi aelewe...
Kwani wao nikina nani mpaka wasing'olewe?Wajipange coz mpaka sasaivi tumeishajua ni mbinu zipi wanatumia kuiba kura ndo this time wamekosa pakupumulia kwa ulinzi wa kura wa umma!Jipange!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.