Wazee wakisema kaua bila kukusudia ni kuwa amehusika ktk mauaji kama alikuwa anajitetea, lakini kama mtu alikuwa anakukimbiza akaanguka akafa hapo unahusika vp kama umeua bila kukusudia
Jamani tusifanye masihara kwenye masuala kama haya hebu vaa viatu vya huyo msichana lolote laweza kutokea usimcheke mtu huwezi jua kwako itakuwaje ni sawasawa kucheka kifo wakati wewe hujui kesho yako
Tusikurupuke mbona watanzania wenzangu mmekuwa maadui kwa nchi yetu wenyewe, hata sisi tunaochangia bila kujua kinachoendelea sijui tunatoa wapi napata shida sijui ni elimu au ushabiki, Taarifa ni kuwa Serikalibya Tanzania haina mkataba na Acacia, Serikali ina mkataba na Barrick na ndio maana...
Jamani tuache kujibu kama hatujui tunajibu nn, hivi hata maana ya kusaini mkataba hatujui maana yake nn , hebu wa mfano mdogo tu wa uswahilini kwetu unapotaka kupangisha chumba mwenye nyumba na wewe mnasaini mkataba kabla hujahamia ina maana mshakubaliana hamuwezi kusaini mkataba halafu baadae...
Ina maana znz hatuna mwana jamii mwenzetu huko maana inaelekea hatuna kupashana habari, Mh Makonda alipoenda znz alipata mwaliko wa mkuu wa mkoa huko Unguja, kwahiyo hiyo gari alikuwa anaitumia na inaonekana alitayarishiwa na mwenyeji wake , kwahiyo ni vizuri tuka jiridhisha kwanza kabla...
Tunapoandika vitu tujiridhishe kwanza ndio tutoe watu wasome, kama dunia ingekuwa hivyo watu wa nje hawachukuliwi ktk nchi nyingine kufanya matangazo au kazi basi dunia ingesimama na kila mtu angekaa ktk nchi yake, samatta yupo ubeligiji kwani hakuna wabeligiji wanaocheza mpira, flaviana yupo...
Kama mama Dangote na familia yake waliweza kwenda Hosptal usiku kumuona mtoto ina maana wanamkubali mtoto ila washauri wa Hamisa kutaka kumkomoa Diamond na kutoa mpaka picha za chumbani huku unapata mahitaji yote muhimu hata kama mm ni mzazi wa Diamond nitakuona ni mbaya tu , hapohapo badala ya...
Kwangu mm sijaelewa hawa wazungu kwani hapa kwetu walikuja kusafirisha mchanga au kuchimba dhahabu haiingii akilini hisa zishuke kwa sababu ya uchafu waliokuwa wanausafirisha wakati dhahabu bado wanaendelea kuchimba na haijapigwa marufuku kwa mtazamo wangu makinikia yana faida kuliko dhahabu...
Naomba mwenye kujua anifahamishe , naona kama kuna mgomo wa Redio na Tv nina muda mrefu sijaona wakipiga kwenye Redio au kucheza kwenye Tv nyimbo za Diamond hasa Redio 3 name stesheni za Tv 3 sjiui kuna mgomo baridi au kuna tatizo gani mwenye ufahamu anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.