Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,259
Likes
5,101
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,259 5,101 280
Serikali imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha mamlaka itakayosimamia masuala yote ya nyumba

Kwenye sheria mpya ambayo itapelekwa bungeni itafuta wapangaji wa nyumba kulipa kodi kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja kwa kuwa inaumiza watu wengi, badala yake watakuwa wanalipa kwa mwezi mmoja mmoja

Kodi itakua inalipwa kwa mwezi mmoja na utatakiwa kuweka amana ya miezi mitatu kwa ajili ya shughuli nyingine

 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,474
Likes
4,644
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,474 4,644 280
Seriklali imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha mamlaka itakayosimamia masuala yote ya nyumba

Kwenye sheria mpya ambayo italetwa bungeni itafuta wapangaji wa nyumba kulipa kodi kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja kwa kuwa inaumiza watu wengi,

Kodi itakua inalipwa kwa mwezi mmoja na utatakiwa kuweka amana ya miezi mitatu kwa ajili ya shughuli nyingine

Serikali ijenge nyumba zake na kuweka utaratibu huo.
 
shin gun wook

shin gun wook

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
980
Likes
1,375
Points
180
shin gun wook

shin gun wook

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
980 1,375 180
Afadhali watuneemeshe wenye nyumba za urithi.............hahahahahah
Watakuenemesha vip apo .mfano kodi kwa mwenzi ilikua 100000 ukawa unachukua 600000 kwa mienzi sita.hauoni ukipata ya mienzi sita unafanya mambo yako ya maana.mtoto anaenda shule n.k
 
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
968
Likes
532
Points
180
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
968 532 180
Hii sheria naifananisha na sheria za mfalme Mmoja niliemsoma secondary school mwenye jina la mfalme Juha...Huyo alieipendekeza simlaumu ila kama itapitishwa na bunge basi itabidi pale bungeni kuwe na access ya maji ya baharini kwa ajili ya kuogea.
 
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
4,846
Likes
3,582
Points
280
Age
27
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
4,846 3,582 280
Kuna Dingi mmoja Arusha alikuwa anachukua kodi yake kila siku. Yani kama kodi ya singo ni sh 30,000 basi yeye anataka buku daily, ukimpa buku 2 anakurudishia chenji yako, ukimuuliza kulikoni anakwambia hana uwezo wa kutunza pesa akipokea pesa nyingi hawezi kuzipangilia matumizi kwa kiasi.
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,970
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,970 1,485 280
real G

Wapangaji wengi watapata uvivu wa kujenga zao.

Halafu nadhani kutakuwa na kodi elekezi ambayo itakuwa na kodi ya Serikali ambayo itaenda kuiendesha Mamlaka hiyo.

Itapunguza kero za wenye nyumba kwa wapangaji ila itajenga uvivu wa kutukuka kwa wapangaji ili wasijenge zao kwani kodi ya kila mwezi mbona ni afueni
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,970
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,970 1,485 280
Kete Ngumu

Huyo ni mwenye nyumba mzuri,ebu niunganishie naye tafadhari.
 
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Messages
2,470
Likes
5,520
Points
280
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2011
2,470 5,520 280
Watakuenemesha vip apo .mfano kodi kwa mwenzi ilikua 100000 ukawa unachukua 600000 kwa mienzi sita.hauoni ukipata ya mienzi sita unafanya mambo yako ya maana.mtoto anaenda shule n.k
Henda hujui maana ya cash-flow
 

Forum statistics

Threads 1,215,444
Members 463,207
Posts 28,548,373