Je, Serikali imebadili Magari ya Wakuu wa Mikoa?

Umeielewa thread? Kuna sehemu nimekataa kutumia usafiri wa gari au nimehoji kutumia RC DSM kwenye gari hiyo? BTW ulishapataga ajira maana ulikuwa hukauki kule Jukwa la Kazi
Kashapata za zile za DC Mnyeti so ni lazima atetee kila hatua ya "kubana matumizi" ya mabwana zake.
 
Emotions siku zote huathiri uwezo wa kufikiri, kwani ameonekana na hiyo gari au ndo mazoea ya kuhukumu watu? Amini nawaambia kila anaeamini kile macho yanachokiona ni mpumbavu coz vingine ni ulaghai
 
Kama ni kweli, basi ile dhana ya kubana matumizi haipo, maana hilo dude linavyokunywa mafuta, we acha tu.
 
Umeielewa thread? Kuna sehemu nimekataa kutumia usafiri wa gari au nimehoji kutumia RC DSM kwenye gari hiyo? BTW ulishapataga ajira maana ulikuwa hukauki kule Jukwa la Kazi
Hapo inaonekana ni Zanzibar kwa hivyo vi vespa tu.
Makonda alikuwepo zanzibar kikazi,kwa mujibu wa protokali anaruhusiwa kutumia gari ya serikali ya mapinduzi au ya muungano kwa shughuli za kikazi,na tiliona akipewa hundi ya milioni 50 kujenga ofisi za waalimu Dar
 
Yana mwisho....na mwisho wake huwa mbaya....subiri Sizo atoke pale kwa hiari au shari au kutwaliwa uone maisha yatavyo badilika.....from Vogue to Kalandinga.....! Time will tell

Hata kama ikija kutokea hivyo ila atakuwa ameshakula ' bata ' za kutosha ambazo pengine Mimi na Wewe hata ukifika muda wa kupumzishwa ' Kaburini / Tukifa ' tunaweza tukawa hatujamfikia Yeye. Cha msingi ' tukazane ' tu kupambana na shida zetu binafsi za Kimaisha ambazo nadhani zinahitaji juhudi zetu kubwa kuliko ' Kushabikia ' maisha ya RC Makonda.
 
Binadamu wa sasa anatumia kila analoweza kufikia malengo yake.Asante kwa maendeleo ya teknolijia iliyofikiwa mpaka sasa.
 
Ina maana znz hatuna mwana jamii mwenzetu huko maana inaelekea hatuna kupashana habari, Mh Makonda alipoenda znz alipata mwaliko wa mkuu wa mkoa huko Unguja, kwahiyo hiyo gari alikuwa anaitumia na inaonekana alitayarishiwa na mwenyeji wake , kwahiyo ni vizuri tuka jiridhisha kwanza kabla hatujaandika habari ambayo baadae mtoa habari ataonekana amekurupuka
 
Back
Top Bottom