Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

Mkuu mbona vifaranga vyako ni bei kubwa sana tena mno mana wizaran wanajamaa zao kule bunju bei poah nilipata bahat ya kupata darasa wizarani personal na mkurugenzi na jkt wao nao wako cheap tsh 300 mpk 120 nataka nijue tofauti yako ni nn na ni mchanganyiko au bei moja mana nasikia kuna waliohasiwa na matume tupu na majike tupu kuna utofauti
Labda wao wana ruzuku.
Hawa wanazaliana
 
Napenda sana hii aina ya project.lakin.naona wengi wanalia na changamoto zaidi kuliko ku-furahia matunda kama ulivyofanya wewe
 
Ukikosea mbegu ndio tatizo kubwa.
Lkn pia nimegundua utaratibu wa ulishaji na usafi wa mabwawa tunaoelekezwa na wataalam wetu una shida. Kuna bwawa nililofuga kama wanavyotueleza wa taalam lkn cha ajabu samaki wa hilo bwawa wamedumaa. Hivyo basi nafuga kwa utaratibu wangu mwenyewe ndio maana unaona hayo mafanikio
 
Mh
 
Back
Top Bottom