Recent content by Fang

  1. Fang

    UZUSHI Kila mgonjwa wa Kifua Kikuu huwa na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI

    Jamii inaamini kuwa kila Mtu anayeugua ugonjwa wa Kifua Kikuu huwa ana maambukizi ya VVU jambo ambalo limekuwa chanzo cha unyanyapaa kwa waathirika Je, ni kweli kila Mtu mwenye kifua kikuu ana maambukizi ya VVU?
  2. Fang

    Epuka makosa haya katika kuchaji simu ili utunze betri lako

    Kwenye kuchaji simu ni watu wengu wanafanya makosa mbalimbali ambayo yanasababisha mfumo wa kuchati au ata betri za simu zao kuharibika mapema. Leo fahamu mambo ya uzingatia katika kuchaji simu na kufanya betri zidumu. Fahamu kwa kufuata baadhi ya haya maelezo kutahakikisha betri la simu yako...
  3. Fang

    Apple yapoteza trilioni 21 kwenye hisa baada ya mbunifu wake kutangaza kuondoka

    [http://img2] Kampuni ya Apple imepoteza Tsh 21 Trilioni ($9bn) katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa takribani bidhaa zote za Apple, kutangaza kuondoka ndani ya kampuni hiyo. Sir Jonathan Paul “Jony” Ive, ana miaka 27 ndani ya kampuni hiyo na ni...
  4. Fang

    Bajeti 2019/20: Nywele bandia zawekewa ushuru, Leseni za udereva Tsh. 70,000 kwa miaka 5. Taulo za kike zafutiwa msamaha wa kodi VAT

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango amesema kutakuwa utaratibu mpya wa kuondoa mizigo bandarini wananchi wa kawaida wataruhusiwa kutoa mizigo yao bila ya kuwa na ulazima wa kutumia Wakala wa Forodha (Clearing and Forwarding Agents). Dk. Mpango alisema utaratibu huu hautahusisha mizigo...
  5. Fang

    Mahakama yaombwa kutengua kifungo cha nje cha Sheikh Ponda

    [http://img2] Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeiomba Mahakama ya Rufani kutengua hukumu ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomhukumu kifungo cha nje katibu wa Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Maombi hayo yametolewa leo Jumanne Juni 11, 2019 na wakili wa Serikali...
  6. Fang

    Maambukizi ya Dengue yanaongezeka kwa kasi, Dar es Salaam inaongoza

    [https://4] Hadi sasa watu 1,901 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa Dengue nchini huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ukiwa na wagonjwa 1800, maambukizi yanaelezwa kupanda kwa kasi hadi watu 74 kwa siku kutoka watu 32. Hayo yameelewa na mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammed Bakari Kambi, amesema...
  7. Fang

    Imani za kishirikina zachochea unyanyasaji wa watoto Tanzania. Uhuru wa kujieleza wadorora

    Zaidi ya visa 6000 vya ukatili au unyanyasaji dhidi ya watoto ikiwemo ukatili kiongono viliripotiwa mnamo 2018, kimebainisha Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) katika ripoti yake mpya iliyozinduliwa leo. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliopewa jina "Ukatili wa Kingono: Tishio kwa Haki na...
  8. Fang

    Semenya ashindwa rufaa ya kuzuia AFP kudhibiti kiwango cha homoni kwa wanariadha wa kike

    PARIS, Ufaransa MWANARIADHA wa Afrika Kusini, Caster Semenya, ameshindwa katika kesi muhimu dhidi ya Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF), ikimaanisha kuwa shirikisho hilo litaruhusiwa kudhibiti viwango vya homoni za wanariadha wa kike. Mahakama ya utatuzi wa migogoro michezoni (CAS), imekataa...
  9. Fang

    AU yatoa siku 60 kwa Jeshi la Sudan kutoka madarakani

    Siku chache baada ya muda wa siku 30 kupita bila ya jeshi la Sudan kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia, umoja wa Afrika umeongeza siku 60 kwa jeshi hilo kufanya hivyo au likabiliwe na vikwazo. Umoja wa Afrika umetishia kusitisha uanachama wa nchi hiyo ikiwa wanajeshi hawatakabidhi madaraka...
  10. Fang

    Fedha Haramu kikwazo cha maendeleo Afrika Mashariki

    KAMISHNA Mkuu wa Udhibiti wa Fedha Haramu Tanzania, Onesmo Makombe amezitaka nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika kuhakikisha zinabuni mbinu mbadala kukabiliana na tatizo la fedha haramu ambalo limekuwa likizidi kushika kasi katika nchi hizo na kuwa kikwazo kwa maendeleo ya nchini. Makombe...
  11. Fang

    Baadhi ya viongozi wa DRC wakatazwa kuingia Marekani

    Marekani imesema Ijumaa kuwa iko pamoja na watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia zoezi la kihistoria la kukabidhiana madaraka na kutangaza katazo la kuingia Marekani kwa maafisa kadhaa kutoka tume huru ya uchaguzi (INEC), serikali na jeshi la nchi hiyo. Waziri wa Mambo ya Nje...
  12. Fang

    Upelelezi kesi ya Wema Sepetu wakamilika, kuanza kusomewa mashtaka

    Mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu anatarajiwa kuanza kusomewa maelezo ya awali kufuatia kukamilika kwa ushahidi upande wa Jamhuri juu ya kesi ya kusambaza picha za ngono inayomkabili. Wema Sepetu anatuhumiwa kusambaza picha za ngono kupitia mtandao wake wa kijamiii ambapo kupitia hatua...
  13. Fang

    Wananchi wa Hispania waandamana kumpinga waziri mkuu

    MADRID — Tens of thousands of protesters on Sunday called for the ouster of Prime Minister Pedro Sánchez of Spain and denounced his proposal for talks to try to ease the tensions around the simmering secessionist conflict in Catalonia. The demonstration — held on one of the main squares of...
  14. Fang

    Gari inauzwa

    Weka taarifa zote za bidhaa yako hapa Kutofanya hivyo kutapelekea uzi huu kufutwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom