Recent content by fancygirl

  1. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Hv kuna watu wameamka kweli, yani leo kwenye ndoto wengi wamemuota wema bisha?
  2. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Jamani ushauri nasaha na umama Terry baadaye tusheherekee kwanza bday leo! Nani kanuna? P and K heheheheeeee simoooooo
  3. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Halafu aliyepeleka ni mama diamond mwenyew, uwiiiii watu leo lazima wameze diclopar
  4. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Jamani kapewa nissani murrano na shem darling! Chezeya
  5. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Yani insta leo imezizima, hamna jipya Wema ndo habari ya mujini! Wote kimya
  6. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Haya ndio aliyosema Diamond kumtakia siku ya kuzaliwa Wema

    Aiseeee kitu BMW!
  7. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Childishness and Predictability in Korean Series

    Tafuteni THE HEIRS hamtajuta kabisa, mpaka sasa nimeangalia series 30 in total za kikorea! The heirs is the best of the best trust me
  8. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Mgao wa tigopesa vipi

    Mm wamenitumia 18,352 nimeshangaa sijaamini!
  9. fancygirl

    JamiiForums Tanzania TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    Jamani hao TCU wanachanganya wadogo zetu, ni kweli link ilitoka na majina ya chuo ulichopangiwa unaona, na madogo wengi wameona sasa wanavyosema sio official wanamaanisha nini? It means hawapo makini na system yao kwa nini link ileak? Nani ameitoa?
  10. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Picha: DJ choka umri umeenda unajua

    Mm namfollow dj choka ananifurahisha kwa kweli na kauli zake za nitalala uzeeni! Life has no formular and it is too short so have fun guys....
  11. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi siku hizi wanazeekea makwao bila kuolewa?

    Inaelekea jamaa_Mbishi unayafanya hayo uliyoyaandika! Hahahaaaaa...... bt it remains to be ur opinion not fact
  12. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Nimemuona wa jan 12 my twin
  13. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    Kuna picha nimetumiwa whatsapp zinatisha kwa kweli
  14. fancygirl

    JamiiForums Tanzania Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    Ehhhe Mungu tunusuru jamani! RIP marrhemu wote! Inatisha kwa kweli
Back
Top Bottom