Recent content by famousmisifa

  1. famousmisifa

    Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

    Kila mwezi utapaswa ulipe zaidi ya laki 416666.6666666667 kwa gari yenye thamani ya M 10. duh
  2. famousmisifa

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Siwezi kumlaumu dogo, najua tatizo mfumo.
  3. famousmisifa

    FAHAMU: Part Time Jobs zenye Pesa ambazo watu tunashindwa kuzifahamu kwa undani na kukosa taarifa.

    biashara kama namba mbili zipo nyingi huku marekani na serikali ya bwana trum... inatoza kodi kubwa sana kwa makampuni kama haya ...... nina uhakika waliopo kwenye kampuni hizi na wafanya biashara wa kampuni namba mbili wanapata taabu sana kuelewa ..... . HAMNA LOLOTE NARUDIA TENA HAMNA...
  4. famousmisifa

    Mtanzania kuwa makini, usipige picha vitu vifuatavyo

    kwasababu gani si vizuri ?????
  5. famousmisifa

    Kupata followers wengi JF unafanyaje?

    nadhani mmeshampa mawazo huru
  6. famousmisifa

    Kupata followers wengi JF unafanyaje?

    kwa wale wenye insta fever kama mimi follower kupata ni rahisi kuliko maji jinsi ya kufanya we ingia kwenye account ya diamondplatnumz badili jina jiiite saidiplatnumz, au abdalahplatunmuz huwezi amin team wasafi ni wengi lazma watakufollow........ nashukuru lakini humu jf sijajua bado system...
  7. famousmisifa

    habari zenu wadau

    heshima yenu wakubwa na wadogo zangu marahaba pia ....... nashukuru kwa ukarimu wenu
  8. famousmisifa

    Je, nini maana ya kinzudi?

    Kwa wale wanaofahamu kiswahili vyema, je nini maana ya kinzudi?
  9. famousmisifa

    habari zenu wadau

    naomba mnipokee nimejiunga jana
  10. famousmisifa

    Kupata followers wengi JF unafanyaje?

    me nadhani wtumie messeji wakufollow
Back
Top Bottom