Ushauri: Mume wangu amenikataa baada ya kupunguzwa kazi, kwa madai kwamba alioa mwalimu na si mama wa nyumbani

Ni vibaya kuhukumu kwa kusikiliza pande moja,
Mara nyingi ndoani wanawake wenye ajira hamna msaada wowote,ata kwa vitu kwa ajili ya familia,
Pengine aliliona ilo mapema,ivo hatimaye kapata sababu,jibidishe katika biashara.
 
Akutafutie kazi kukuacha sio uamuzi sahihi maisha hayapo hivyo anavyo yachukulia yeye kwamba kazi ndio msingi wakilakitu biashara pia inalipa

Cha ajabu baada ya kusikia nmepata sehemu ingine akaanza kujirudi ..... alikula block kila sehemu mxiieew
 
Wakuu habari bila kuwapotezea muda kilicho nisibu ni hiki hapa baada ya miaka 15 ya ndoa nikiwa ni mtumishi idara ya elimu nimejikuta napata ajali kazini kwa kupunguzwa kazi katika sakata la vyeti feki, katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto watatu.

Kilichonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba baada ya kupunguzwa kazi mwanaume amenikataa katakata kwa madai kwamba alioa mwalimu na si mama wa nyumbani.

.
https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-ya-kutafsiri-ndoto-uliyoota.1002582/reply?quote=24187809
aliyetegwaSenior Member
[HASHTAG]#3107[/HASHTAG]
Oct 29, 2017

Joined: Jul 11, 2015
Messages: 162

Likes Received: 121

Trophy Points: 60
Wakuu mimi ni Me nimeota baba yangu mzazi yupo ananiosha(ananiogesha) lakini cha kushangaza zaidi baba yangu pia alikua hajavaa nguo yeyote pia, naomba msaada maana imenichanganya kidogo nashidwa kuelewa kilichotokea.
 
Mwambie papuchi inayoenda kazini na isiyoenda radha ni ileile kiubwa inajua namna ya kulipokea dushe.
 
Kisa chako kinafanana na kisa cha mdada mmoja mwalimu ameolewa nawanajeshi,huyo mdada alifukuzwa kazi kwa sakata la vyeti feki,Mwanaume anamnyanyasa sana na wakati mwingine anamsifia binti wa kazi mbele yake na kumtukana mbele ya mashemeji wake,hana raha tena na ndoa yake,Vituko kila kukicha,duuhh wanaume hawa
 
Hapa hakuna haja ya kugawana kwa sababu aliyechoka ni mwanaume anapaswa aipishe familia hapa anapaswa awe na roho ngumu tuu mwanamke hajawahi shindwa kwa mwanaume
No labda hujaelewa hii post, aliyekosa Kazi ni mwanamke so mwanaume anamawengenya sababu huyo dada hana uwezo wa kifedha saa hii. Kwa mazingira haya wa kupisha ni huyo mume kama anaona huyo mama ni kikwazo yeye ahame halafu awaache kwenye nyumba familia na awaachie mali zitakazowafaa kuendesha maisha
 
What he means is that you have to get busy.

Maisha yenyewe ya kukaa home kumtegemea mume yako wapi?

Get busy dear.
karucee bhana, u seems to be positive on the man while I see him in a negative way
How can you even have the knowledge ya kuwa busy na small bzness if the so called Mume anakukandia na mineno ya ajabu? Ni ngumu kumsikia wa ndani wako anakukandamiza halafu uwe na amani ya kufikiria kitu za ziada.
Yaan mimi nampa pole mtoa mada ila ajiongeze tu kwa kweli hana mtu hapo
 
No labda hujaelewa hii post, aliyekosa Kazi ni mwanamke so mwanaume anamawengenya sababu huyo dada hana uwezo wa kifedha saa hii. Kwa mazingira haya wa kupisha ni huyo mume kama anaona huyo mama ni kikwazo yeye ahame halafu awaache kwenye nyumba familia na awaachie mali zitakazowafaa kuendesha maisha
Sijaona tulipopishana mkuu

Mume asepe asichukue hata mia

Cha msingi hapa meanamke asimame kdete huyu jamaa ayaone maisha yake ndio magumi.

Hili ni funzo kwa vijana

Ndeni watu na si kazi zao

Usikute kazi ya mkewe huyu uamaa alikuwa anakopea pombe kilabuni na majigambo kibaoooooo
 
karucee bhana, u seems to be positive on the man while I see him in a negative way
How can you even have the knowledge ya kuwa busy na small bzness if the so called Mume anakukandia na mineno ya ajabu? Ni ngumu kumsikia wa ndani wako anakukandamiza halafu uwe na amani ya kufikiria kitu za ziada.
Yaan mimi nampa pole mtoa mada ila ajiongeze tu kwa kweli hana mtu hapo

He never was like that.

Do you blame him having in mind the current financial situation?
 
He never was like that.

Do you blame him having in mind the current financial situation?
MAYBE i don't understand the topic
thought is madam lalamika here for not having the job and the husband is trying to chase her away
Is that so? and if yes what current financial situation you are talking about in him
NIELEWESHE TAFADHALI
 
Yeye hajui kama hiyo ndoa mlifunga kanisani? Hama haraka atakuua ili aoe mwalimu mwingine mwenye vyeti vya kweli.
 
Wakuu,

Habari bila kuwapotezea muda kilicho nisibu ni hiki hapa baada ya miaka 15 ya ndoa nikiwa ni mtumishi idara ya elimu nimejikuta napata ajali kazini kwa kupunguzwa kazi katika sakata la vyeti feki, katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto watatu.

Kilichonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba baada ya kupunguzwa kazi mwanaume amenikataa katakata kwa madai kwamba alioa mwalimu na si mama wa nyumbani.

Licha ya kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili lakini bado mume wangu ameendelea kushikiria msimamo wake kuwa yeye alioa mwalimu na si mama wa nyumbani.

Na anasisitiza kwamba nichague chochote ninachotaka niondoke nacho maana yeye hayupo tayari kuishi na mama wa nyumbani.

Mpaka sasa nipo njia panda, naombeni ushauri wenu wakuu.
Je ulimshirikisha tokea mwanzo kuhusu vyeti?.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom